Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.

Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.

Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.

Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.

Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).

Huu utafiti ulifanyika lini? na nani? kama wewe huna marinda usiseme asilimia 90 humu hawana ebooo!!!!
 
Ni muda wa kukataa huu ufirauni. Sio kitu kizuri hata kidogo! Yeyote anaetetea huu ufirauni basi nae kwa namna moja ama nyingine anashiriki, aidha anafanya au anafanywa. Sheria zibadilishwe ziwe kali zaidi.
 
Kwanza yeyote yule anaefirwa huwa hawezi kazi ngumu, hivyo taifa kama taifa linakuwa tayari limeshapoteza nguvu kazi, kiasi ambacho wakihitajika mashababi kwa ajili ya kutetea taifa huyo tayari ameshakosa sifa. Pili mfirwaji hafiruki, na mwanzoni anachukulia kawaida lakini mazoea hujenga tabia na mwishowe akishazoea kabisa hawezi kuacha ni sawa na watumiaji wa madawa ya kulevya jinsi walivyo, siku akikosa wa kumfira huwa hayuko sawa.
Kwako mwalim kashasha...
9/15 Gooooood. By Mwl Kashasha
 
9/15 Gooooood. By Mwl Kashasha
Oyaa! [emoji38][emoji38][emoji38]9/15 kweli? Ongeza bana atleast 12, hizo 3 kwa kufuta futa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Oyaa! [emoji38][emoji38][emoji38]9/15 kweli? Ongeza bana atleast 12, hizo 3 kwa kufuta futa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Nilishakwambia usilale kwenye kipindi changu. Kukusaidia tu, conclusion yako imemzungumzia mfirwaji pekee haijamuongelea mfiraji kabisa. Hapo ndipo nilipokulima hizo 6.
 
Why kipindi cha uchaguzi ndo hukumu itoke??

Mwijaku anahukumiwa lini??
kwa hiyo mahakama ingeahirishwa mpaka uchaguzi uishe?
kwani amber ruty ana impact gani katika siasa za Tanzania?nieleweshe mkuu
 
Acha wakapumzishwe kidogo wakitoka watatia akili
Mambo yenu ya chumbani kuyaweka hadharani ndio nini
 
Kumpeleka James delicious segedance Ni kumuongezea matatizo [emoji2]

Hawatomwacha salama miaka 5 lazima awe mke wa nyampala huko kati
acha wajuba wakakonge nafsiii
ndo maisha alioyachagua sasa kapatikanaa
 
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"

Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES
Sheria ipo wazi,miaka 30,hakuna fine,fine zimetoka wapi hapa?
 
Back
Top Bottom