Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,077
- 1,181
Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.
Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.
Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.
Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.
Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Huu utafiti ulifanyika lini? na nani? kama wewe huna marinda usiseme asilimia 90 humu hawana ebooo!!!!