Mjaaalaana mkubwa weye..... Kwahiyo wewe hata mtu akiwa anauwa watu kimya kimya au kubaka as long as its not known i public inakuwa sawa....?!Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
So ni sawa mtu kufanya kinyume na maumbile?! Hivi unafahamu madhara yake, kwake na kwa watu wanaomzunguka?!Wana kosa Moja tu lakusambaza, lingine wamewaonea
Hao ndio watu wasiojua maana ya maagizo ya MUNGU, hawajui mlango wa kanisa wala msikiti. Wao wanaishi kwa mitazamo ya kibinadamu na kibinafsi. Wajaa laaana kabisa hawa.Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
We nawe ni mmoja waoMtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Juzi huyu jamaa ka-like account yangu Tinder, nikaambiwa one beautiful girl just super liked your image, kucheki ni huyo kenge.Adhabu mbona ndogo sana hiyo kwanza huyoDelicious atasema silipi ili ili akabanduliwe kwa kujiachia huko🤕😡
Huyo atatafuta Sponsor wa kumlipia, maana parefu hapoAdhabu mbona ndogo sana hiyo kwanza huyoDelicious atasema silipi ili ili akabanduliwe kwa kujiachia huko🤕😡
Wamewapeleka sehemu ambayo watu wana ugwadu, james delicious ndo atakuwa mke kabisa huko.
Mahakama imewafikisha kileleni
Ngoja na wafungwa wamuonje au unateseka?Kwa jela zetu zilivyo huyo James kumpeleka gerezani ni sawa na kumharivu zaidi, ni bora abaki huku uraiani.
Hao watu wanaomzunguka watajuaje kama hajasambaza videos na kutangaza hadharani?So ni sawa mtu kufanya kinyume na maumbile?! Hivi unafahamu madhara yake, kwake na kwa watu wanaomzunguka?!
Wakoje mkuu wanashindilia sana au?Atarudi ametepeta, unawajua wafungwa wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sifanyi wala sifanywi ukweli ni kuwa watu wanafanya hayo mambo hata kama tukikataa kosa naloona ni kusambaza picha hizo sikubaliani kwa sababu inafundisha maadili ambayo siyo sahihi kwa jamii yetu.We nawe ni mmoja wao
Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.Wakoje mkuu wanashindilia sana au?
Kwaiyo watamla ? Kufa kufaana.Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.
Huyo anaenda kuolwa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.
I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"
"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"
Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES
Basi wamtengee kwenye chumba chakeAtaliwa mnoooo.
Nimekaa sana kwenye kambi za magereza, hunidanganyi kuhusu Jela na wafungwa hata kidogo.
Ni akili finyu tu zinakufanya uniwazie hayo japo sifanyi na hata nikitaka kufanya chumbani na mwanamke wangu serikali haitaniona na video sitapiga picha wala kusambaza.Utakuwa unafanya michezo husika wewe