Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Mjaaalaana mkubwa weye..... Kwahiyo wewe hata mtu akiwa anauwa watu kimya kimya au kubaka as long as its not known i public inakuwa sawa....?!

Acha kutuletea mitazamo na tamaduni za kipumbavu za kimagharibi.

Tendo lolote ambalo mwisho wake ni maangamizi hakifai kukaliwa kimya hata iwaje....
 
Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
Hao ndio watu wasiojua maana ya maagizo ya MUNGU, hawajui mlango wa kanisa wala msikiti. Wao wanaishi kwa mitazamo ya kibinadamu na kibinafsi. Wajaa laaana kabisa hawa.
 
Hao wamekosea kwa kusambaza video ila kuhusu kutipuliwa tope hii tabia imetapakaa kila uchochoro wa nchi hii,tena mademu wengine wanaomba kabisa uwale nyuma ndo wanaridhika
 
So ni sawa mtu kufanya kinyume na maumbile?! Hivi unafahamu madhara yake, kwake na kwa watu wanaomzunguka?!
Hao watu wanaomzunguka watajuaje kama hajasambaza videos na kutangaza hadharani?
 
We nawe ni mmoja wao
Sifanyi wala sifanywi ukweli ni kuwa watu wanafanya hayo mambo hata kama tukikataa kosa naloona ni kusambaza picha hizo sikubaliani kwa sababu inafundisha maadili ambayo siyo sahihi kwa jamii yetu.
 
Wakoje mkuu wanashindilia sana au?
Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.

Huyo anaenda kuolewa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.

I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
 
Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.

Huyo anaenda kuolwa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.

I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Kwaiyo watamla ? Kufa kufaana.
 
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"

Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES

Ni kweli Hakimu ametumia ubinadamu kwa hukumu hiyo,ni ndogo sana kutokana na kosa lenyewe.siyo tuu kufanya kinyume na maumbile,ila kinachoo udhi zadii ni kutafuta soko kuipromoti hadharani hiyo business. Nadhani wangewaongezea na kazi ngumu
 
Utakuwa unafanya michezo husika wewe
Ni akili finyu tu zinakufanya uniwazie hayo japo sifanyi na hata nikitaka kufanya chumbani na mwanamke wangu serikali haitaniona na video sitapiga picha wala kusambaza.
 
Back
Top Bottom