Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Labda dili linahusiana na haya mambo. Pornstar-Gwabway nae alipona vipi au hajacheza kinyume na maumbile!
Balozi wa Bidhaa moja mambo ya masofa nafikiri
Sema dem kauzu balaa lote lile kakausha[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Chadema na Lissu,Halima mdee na Fatuma Karume ni muhimu kuwatetea hawa watu!
 
Kesi hapo ni kujirekodi na kusambaza
Ila kama watu mnadunguana kimya kimya na kwa ridhaa zenu kiroho Safi hakuna ttz

Ova
Hiyo ni sawa. Lkn hapo inaonyesha wanamakosa ya kufanya, kurekodi na kusambaza
 
Kwani mbunge akiwa bungeni anamuwakilisha nani? Au umeamua ubishane ili upunguze shibe.
 
James atalipiwa na wanachadema maana hao ndo wanasapoti ushoga.
 

Unafanyaje Mambo ya faragha na kuyavujisha nje?!!
Pathetic...

Sasa Kama ilikuwa ni kutafuta umaarufu basi GHARAMA yake huwa si ndogo...

Hivi Vitabia vinaweza kunyooshwa kisheria ili iwe funzo kwetu vijana wote.
 
Wewe hata huelewi muktadha. Kimsingi huelewi hata unachokizungumza wewe mwenyewe.

Pili, huna ufahamu wowote kuhusu namna sheria zinavyotungwa bungeni. Wala hujui bunge linavyofanya kazi.

Huelewi chochote kuhusu lolote.
Unafikiri writing those sentences will change the fact kwamba sodomy ni kosa kisheria?
Au unafikiri utanifanya nikubaliane na wewe kwamba watuhumiwa wameonewa?
 
Namwona pastor na kola yake ya ukosi hapo[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…