Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Labda dili linahusiana na haya mambo. Pornstar-Gwabway nae alipona vipi au hajacheza kinyume na maumbile!
Balozi wa Bidhaa moja mambo ya masofa nafikiri
Sema dem kauzu balaa lote lile kakausha[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Chadema na Lissu,Halima mdee na Fatuma Karume ni muhimu kuwatetea hawa watu!
 
Kesi hapo ni kujirekodi na kusambaza
Ila kama watu mnadunguana kimya kimya na kwa ridhaa zenu kiroho Safi hakuna ttz

Ova
Hiyo ni sawa. Lkn hapo inaonyesha wanamakosa ya kufanya, kurekodi na kusambaza
 
Hii ni hukumu mpya? Nakumbuka Huyu binti si aliwahi kulipiwa faini na mchungaji komando mashimo?

Sent using Jamii Forums mobile app


mchungaji komando mashimo ndo huyo hapo kulia na bag lake kasimama.

1601057699589.png
 
Sheria haitungwi wala kufutwa kwa boksi la kura.

Sheria zinatungwa na kufutwa na BUNGE LA JAMUHURI kwa kufuata MISINGI YA KATIBA na sheria zingine HALALI za nchi.

Kwa nchi ambayo 70% ya watu wake hawana ufahamu wa mambo anuwai, hilo boksi la kura litageuka kuwa MAJORITARIAN DICTATORSHIP.

Thanks to the CONSTITUTION for establishing the parliament where laws are enacted based on constitutional tenets and the RULE OF LAW.

Wengi wenu humu mngeruhusiwa kutunga sheria kwa kutumia boksi la kura mngepitisha sheria inayosema vikongwe wote wenye macho mekundu wauwawe kwa kusababisha ukame nchini.

Huo upuuzi umebinywa na Katiba.
Kwani mbunge akiwa bungeni anamuwakilisha nani? Au umeamua ubishane ili upunguze shibe.
 
James atalipiwa na wanachadema maana hao ndo wanasapoti ushoga.
 
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"

Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES

Unafanyaje Mambo ya faragha na kuyavujisha nje?!!
Pathetic...

Sasa Kama ilikuwa ni kutafuta umaarufu basi GHARAMA yake huwa si ndogo...

Hivi Vitabia vinaweza kunyooshwa kisheria ili iwe funzo kwetu vijana wote.
 
Wewe hata huelewi muktadha. Kimsingi huelewi hata unachokizungumza wewe mwenyewe.

Pili, huna ufahamu wowote kuhusu namna sheria zinavyotungwa bungeni. Wala hujui bunge linavyofanya kazi.

Huelewi chochote kuhusu lolote.
Unafikiri writing those sentences will change the fact kwamba sodomy ni kosa kisheria?
Au unafikiri utanifanya nikubaliane na wewe kwamba watuhumiwa wameonewa?
 
Back
Top Bottom