Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Na wale wa blowjob nao wahukumiwe kwan nayo nikinyume na maumbile
Hiyo wala haitambuliki kama kinyume na umbile. Chaajabu sasa watu wanafanya kila leo ila wanaovujisha videos ndio wanakamatwa.sasa inatakiwa wahukumiwe kwa kusambaza video siyo kufanya? Kwani watu wakiwa chumbani wanafanya serikali inaona? Hata kama inaona lakini picha hazijaonekana kwa mtu mwingine kwanini iingilie kati? Sheria za kipumbavu kama hizi zisipewe nafasi.
 
Wamewapeleka sehemu ambayo watu wana ugwadu, james delicious ndo atakuwa mke kabisa huko,bila shaka alipokea hukumu kwa mikono miwili

Mahakama imewafikisha kileleni
Hajaenda jela
 
Wale wakiachiwa basi kutakuwa na upendeo
Ila mmb ya kesi chochote kinaweza tokea
Maana hyu mwjk bdo yupo na anavimba
Lbda anachezesha na kunifatilia kesi yake

Ova
Ukitoa mtonyo kesi yako inazungumzika.
 
Afadhali maana hii Nchi ilizidi kuwa na kundi kubwa la watu wanaokaa uchi mitandaoni.. Hii itakuwa ni funzo kwa wengine pia
Wakaa uchi wote ni wasanii wa CCM hawawezi kuchukuliwa hatua yeyote.
Kwanza tu hiyo mitusi inayovirumishwa na baadhi ya wasanii kwenye comments sio mchezo na TCRA wapo kimya japo ni kinyume cha sheria.
 
Kesi ipo inaendelea mzeee
Mambo ya kesi ukiwa nayo unaweza kuona kama mzamzaa vile..... Ndomana Unapokuwa na kesi usiidharau, uwe unaifuatiliaaa unaangalia namn gani ya kuimaliza

Ova
James delishaz alishasahau kama ana kesi.
Wangemuuliza Wema alifanyaje kuizima kesi yake.
 
Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.

Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.

Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.

Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.

Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Kwa hiyo kwa vile watu wanafanya hayo sirini mahakama imekosea kuwahukumu hao?
 
Wala sitarajii vote..time will tell hata kama itachukua 50 years na sisi hatutakuwepo. haya mambo yatakuwa wazi na uhuru watapewa bila kipingamizi.
We'll worry about that then.
As long as sheria bado ipo leo atakaeivunja lazima awajibike.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kizazi kimeharibika kwa watu kufukuana mitaro private?
Hata tupige kelele namna gani haya mambo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Tunapigizana kelele tu hapa kupoteza muda, hakuna anayeweza kutokomeza hii kitu. Ibaki tu makanisani na misikitini kuwa ni dhambi, na upande wa afya tujue madhara yake ili kupunguza kasi.
Wewe utakuwa unafanywa siyo bure!! Lakini jua ina madhara makubwa sana kiafya!
 
James delishaz alishasahau kama ana kesi.
Wangemuuliza Wema alifanyaje kuizima kesi yake.
Wema anauzoefu na mahakama
Alikuwaga na kesi fulani mahakama ya kino
Hakimu alitaka uthibitisho wa issue fulani
Wema akamwambia Kuna doc nimeacha kwenye gari
Hakim akaona huyu ananitania, akampeleka Sega dance siku 14 ila Alitoka kabla ya hzo siku 14
Mahakamani hakunaga dogo
Ndamana kama kna ishu bora muimalize polisi tu

Ova
 
Hiyo wala haitambuliki kama kinyume na umbile. Chaajabu sasa watu wanafanya kila leo ila wanaovujisha videos ndio wanakamatwa.sasa inatakiwa wahukumiwe kwa kusambaza video siyo kufanya? Kwani watu wakiwa chumbani wanafanya serikali inaona? Hata kama inaona lakini picha hazijaonekana kwa mtu mwingine kwanini iingilie kati? Sheria za kipumbavu kama hizi zisipewe nafasi.
Wewe lazima ni shoga!!
 
Wewe utakuwa unafanywa siyo bure!! Lakini jua ina madhara makubwa sana kiafya!
Vyovyote tu utakavyoaza.
Madhara makubwa kiafya na kufungana jela wapi na wapi? Vitu vingi vina madhara tunaelimishwa na hakuna mtu aliyefungwa jela kwa kutokuelimika.
 
Yule mwanamke aliyekuwa na mwkj eti juzi kati kapewa deal la ubaloz wa nn sjui
Leo wamesahau kma Alifanya madudu anaonekana Kioo cha jamii

Ova
Labda dili linahusiana na haya mambo. Pornstar-Gwabway nae alipona vipi au hajacheza kinyume na maumbile!
 
Mgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lisu kwa muda mrefu amejipambanua kama mtetezi wa haki za binadamu wote bila kubagua.

Lisu amesema wazi serikali yake haitaingilia mambo yanayofanyika kitandani kwa mtu. Sasa kutokana na hukumu ya leo ya kuingilia mambo ya kitandani ya kina Delicious na Amber ruty ,Lisu jitokeze ukemee na uwatetee hao watu kwamba wameonewa na Serikali, kwa kufanya hivyo utapata kura nyingi sana za kukuwezesha kuwa rais wa Tanzania.View attachment 1580868
Hapo ndipo unagundua chadema ni chama cha namna gani
 
Back
Top Bottom