Mgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lisu kwa muda mrefu amejipambanua kama mtetezi wa haki za binadamu wote bila kubagua.
Lisu amesema wazi serikali yake haitaingilia mambo yanayofanyika kitandani kwa mtu. Sasa kutokana na hukumu ya leo ya kuingilia mambo ya kitandani ya kina Delicious na Amber ruty ,Lisu jitokeze ukemee na uwatetee hao watu kwamba wameonewa na Serikali, kwa kufanya hivyo utapata kura nyingi sana za kukuwezesha kuwa rais wa Tanzania.
View attachment 1580868