BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kwa asilimia kubwa kwenye maswala ya mapenzi wahanga wakubwa ni wanawake.
Siku chache zilizopita nilikuwa nacheki Tv kipindi kilikuwa cha burudani miongoni mwa wageni wa siku hiyo alikuwa Amber Rutty ambaye aliambatana na mume wake kiukweli walikuwa wamependeza Sana na walikuja kuachia kazi yao mpya ya muziki iliyokwenda kwa jina la JELA interview ilipendeza ila mwishoni Bibie Amber aliwaomba Watanzania kutokumbushia changamoto alizopitia na kubwa zaidi ni kuwa wamsamehe anajuta kwa kilichotokea na anawasihi wanawake wenzake kuwa makini ili wasije kukutana na changamoto alizopitia.
Tone yake ya sauti na alichokisema kilikuwa very touching Kuna moment niliweza kuhisi maumivu anayopitia mwanamke huyo Mimi Baba Morgan naungana na Amber Rutty kumuombea kwa mungu amusame
Mwisho Watanzania tupunguze kuwa majaji tutambue only God ndo ana mamlaka ya kujaji ya Amber Rutty yanaweza kuwa madogo kuliko Yale yasiyoonekana jitathmini Kwanza wewe na yale ambayo hujawahi kumwambia mtu then uje ujadili ya wenzako.
From northern part of Tanzania.
View attachment 1845737