Kwa asilimia kubwa kwenye maswala ya mapenzi wahanga wakubwa ni wanawake.
Siku chache zilizopita nilikuwa nacheki Tv kipindi kilikuwa cha burudani miongoni mwa wageni wa siku hiyo alikuwa Amber Rutty ambaye aliambatana na mume wake kiukweli walikuwa wamependeza Sana na walikuja kuachia kazi yao mpya ya muziki iliyokwenda kwa jina la JELA interview ilipendeza ila mwishoni Bibie Amber aliwaomba Watanzania kutokumbushia changamoto alizopitia na kubwa zaidi ni kuwa wamsamehe anajuta kwa kilichotokea na anawasihi wanawake wenzake kuwa makini ili wasije kukutana na changamoto alizopitia.
Tone yake ya sauti na alichokisema kilikuwa very touching Kuna moment niliweza kuhisi maumivu anayopitia mwanamke huyo Mimi Baba Morgan naungana na Amber Rutty kumuombea kwa mungu amusamehe.
Back to the topic Ujasiri wa Amber Rutty uko wapi? Back in days binamu yangu wa kike niliyemzidi Kama miaka 10 ashawahi kunifuma napiga punyeto kilikuwa moja ya kitu Cha aibu kilichowahi kunikuta katika maisha yangu kilinibadilisha in negative way ninapoangalia kisa Cha Amber rutty kingetokea kwa mtu asiye brave ni wazi suicide ingetokea lakini amesimama kwa kutumikia adhabu yake, kujutia alipokosea, kukubali kuolewa, kuendelea na maisha yake especially Kufanya muziki na mwisho nipende kumpongeza mume wake that it's unconditional love.
Mwisho Watanzania tupunguze kuwa majaji tutambue only God ndo ana mamlaka ya kujaji ya Amber Rutty yanaweza kuwa madogo kuliko Yale yasiyoonekana jitathmini Kwanza wewe na yale ambayo hujawahi kumwambia mtu then uje ujadili ya wenzako.
From northern part of Tanzania.
View attachment 1845737