cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hao watu ni wanoko khaaaah.Baada ya Ile video kusambaa mtandaoni kule Bombambili Raia walimuonyesha Mzee wake Ile Video. Na Mzee wake alikataa kuwa aliyeigiza Ile video sio mwanae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watu ni wanoko khaaaah.Baada ya Ile video kusambaa mtandaoni kule Bombambili Raia walimuonyesha Mzee wake Ile Video. Na Mzee wake alikataa kuwa aliyeigiza Ile video sio mwanae.
Jaman cc wa damu, nimeku miss mno hadi naumwa lol [emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Naomba uzi wa kufumwa na Dada ukipiga selfie uletwe jukwaani..ni hayo tu[emoji7]
Ukiona hvyo jua kakubuhu, ata kabla ya apo anatengeneza skendo kaliwa mtungo na vile vijamaa vya yamoto bend, sema wanawake kama hawa huwa wanabahati sana ya kuolewaNi kweli mkuu sometimes we need to be +ve hasa pale mtu anapoomba msamaha.
Huyo binti ni jasiri, mabinti wengi huishia kujiua au kua mraibu wa dawa za kulevya kwasababu ya stress.
Mzee wake mtu wa watu na Hana makuu. Ni mzee analiyezisoma vizuri dini za ukristu na uislam na ni alwatan Sana mitaa ya Maputo Bombambili.Hao watu ni wanoko khaaaah.
Kalpana je nae hana ujasiri?Hata Nandy pia ni mjasiri ile video yake na Nenga na ile chupi yake ilozua tafrani
Kuwasihi wanawake wenzake wasifanye nn?Ujasiri wa kuja mbele ya Tv nakuomba msamaha na kuwasihi wanawake wenzake.
Wasifanye alichokifanya yeye.Kuwasihi wanawake wenzake wasifanye nn?
Kwamba ni kibaya au?maana kafanya mambo mawili pale.Wasifanye alichokifanya yeye.
Hii sio Sawa kabisa.Kiukweli ni jasiri sana maana ile mambo kuna wanaofanya kwa Siri wako wengi tu sema hawana ujasiri wa kusambaza upendo kwa wengine waone ubunifu Kama alivyo fanya dada yetu na mumewe. Alafu nikimuangaliaga naona kabisa kale kamchezo hawajaacha sema siku izi hawatoi clip mpya tu
Ok, ila sijakuelewa....wewe ulipokamatwa unajichua ulitaka kujiua? Baada ya kukamatwa uliacha huo mchezo wako pendwa au ndiyo bado unaendelea kujiumiza kwa kumfikiria Amber Rutty kisha unaingia chooni kujichua? Kumbuka kuwa mwanamme anatengeneza lita 57 tu za shahawa maishani mwake, usiendekeze huu ujinga kabla hujazaa la sivyo utakuwa unamwaga povu tu.Kwa asilimia kubwa kwenye maswala ya mapenzi wahanga wakubwa ni wanawake.
Siku chache zilizopita nilikuwa nacheki Tv kipindi kilikuwa cha burudani miongoni mwa wageni wa siku hiyo alikuwa Amber Rutty ambaye aliambatana na mume wake kiukweli walikuwa wamependeza Sana na walikuja kuachia kazi yao mpya ya muziki iliyokwenda kwa jina la JELA interview ilipendeza ila mwishoni Bibie Amber aliwaomba Watanzania kutokumbushia changamoto alizopitia na kubwa zaidi ni kuwa wamsamehe anajuta kwa kilichotokea na anawasihi wanawake wenzake kuwa makini ili wasije kukutana na changamoto alizopitia.
Tone yake ya sauti na alichokisema kilikuwa very touching Kuna moment niliweza kuhisi maumivu anayopitia mwanamke huyo Mimi Baba Morgan naungana na Amber Rutty kumuombea kwa mungu amusamehe.
Back to the topic Ujasiri wa Amber Rutty uko wapi? Back in days binamu yangu wa kike niliyemzidi Kama miaka 10 ashawahi kunifuma napiga punyeto kilikuwa moja ya kitu Cha aibu kilichowahi kunikuta katika maisha yangu kilinibadilisha in negative way ninapoangalia kisa Cha Amber rutty kingetokea kwa mtu asiye brave ni wazi suicide ingetokea lakini amesimama kwa kutumikia adhabu yake, kujutia alipokosea, kukubali kuolewa, kuendelea na maisha yake especially Kufanya muziki na mwisho nipende kumpongeza mume wake that it's unconditional love.
Mwisho Watanzania tupunguze kuwa majaji tutambue only God ndo ana mamlaka ya kujaji ya Amber Rutty yanaweza kuwa madogo kuliko Yale yasiyoonekana jitathmini Kwanza wewe na yale ambayo hujawahi kumwambia mtu then uje ujadili ya wenzako.
From northern part of Tanzania.
View attachment 1845737
Alichokifanya kipo wazi ndicho hicho alichowasihi watu wasifanye kuhusu kuendelea na michezo yake sijui ila kutoa ya moyoni Ni wazi kasaidia kundi la vijana wengi kuwa makini na camera wanapokuwa faragha.Kwamba ni kibaya au?maana kafanya mambo mawili pale.
Kurusha video ya ngono mitandaoni na kuingiliwa kinyume na maumbile.
Sasa alikuwa anakataza lipi?
Maana kile kijamaa kilichokuwa kinamsokomeza dubwana matakoni ndy anaishi nae hadi sasa.
Kuna uhakika gn kama hawaendelei kufanya huko chumbani?
Hapana nilijiona mkosaji sababu ni kaka mkubwa niliyekuwa nategemewa kuonyesha njia iliyo sahihi kwao kunikuta katika situation Kama hiyo ilibadilisha mtazamo wao kwangu nakunifanya kujiona kuwa nimefail Kama kaka.Ok, ila sijakuelewa....wewe ulipokamatwa unajichua ulitaka kujiua? Baada ya kukamatwa uliacha huo mchezo wako pendwa au ndiyo bado unaendelea kujiumiza kwa kumfikiria Amber Rutty kisha unaingia chooni kujichua? Kumbuka kuwa mwanamme anatengeneza lita 57 tu za shahawa maishani mwake, usiendekeze huu ujinga kabla hujazaa la sivyo utakuwa unamwaga povu tu.
Sasa ikiwa bado yupo na.kale kajamaa ,,Alichokifanya kipo wazi ndicho hicho alichowasihi watu wasifanye kuhusu kuendelea na michezo yake sijui ila kutoa ya moyoni Ni wazi kasaidia kundi la vijana wengi kuwa makini na camera wanapokuwa faragha.
Kimsingi katika watu wanaostahili pongezi basi Ni huyo jamaa aliyemuoa Amber tabia za vijana zinafahamika kupita na mademu mwisho wa siku kwenye kuoa wanatafuta wife material kwa madai yao kwa huyu jamaa kukubali kuoa gumegume lake ameonyesha utofauti.Sasa ikiwa bado yupo na.kale kajamaa ,,
Means kazi iendelee..
Angetaka kukataza angekuwa anakesha kanisani,,au msikitini kwa kutubu.
Na kale kajamaa hawapo pamoja.
Vinginevyo ni mambo ya kutafuta kiki .
Aiseh 🤣🤣🤣🤣That's life shits happen.
Sawa, endelea tu kujichua kama kawa.Hapana nilijiona mkosaji sababu ni kaka mkubwa niliyekuwa nategemewa kuonyesha njia iliyo sahihi kwao kunikuta katika situation Kama hiyo ilibadilisha mtazamo wao kwangu nakunifanya kujiona kuwa nimefail Kama kaka.
Punyeto sio kitu kibaya Kama mentality za wengi mnavyofikiria ila excessive masturbation Kama ilivyo excessive sex vina madhara kwa mwanadamu na kuhusu sperm kuisha rudi uliposoma pengine hukuelewa ulichokisoma.