Halafu sisi binadamu ni wanafik sana.Tunavyoukomaliaga huo msamaha utafikir katukosea sisi na sisi ndio wenye funguo za mbinguni.
Kumbe wengi wetu wana mabaya mengi ya kutisha huko sirini ni vile tu hayatajwi hadharani.
Yani utakuta mtu anamroga mwenzie asipate rizki nae anajiona mtakatifu kuliko Ambaer Ruty.Upuuzi mtupu sisi