TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Pumzika kwa amani Babu wa Loliondo.

DA6303C3-C5A4-4434-95CB-641E46FF928C.jpeg
 
Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.

Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali akiwa amechelewa.

Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote.
 
Nawazaga hivi huyu mzee angeweka elfu kumi kile kikombe,angekuwa na ukwasi kiasi gani?
 
Daah, kweli kila enzi na Zama zake.,hatimaye enzi ya umaarufu wa babu imepita Kama hivyo. Tusubili ujio Mwingine.r.i.p babu wa Loliondo.
 
Back
Top Bottom