Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Halafu alikua anawachukia na kuwatukana kila siku watu ambao they gave him a second chance of life kwa teknolojia yao ya betri. Kweli binadamu hana shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu alikua anawachukia na kuwatukana kila siku watu ambao they gave him a second chance of life kwa teknolojia yao ya betri. Kweli binadamu hana shukrani.
Mwendazake mkataa chanjo alikula kikombeAmbilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso...
Babu kaondoka kabla hajaleta kikombe cha kutibu corona.Huu mwaka mpaka unaisha tutaona mengi.
Pumzika kwa amani Legend
Mwendo ameumaliza imani ameilinda apumzike kwa amaniAmbilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.
Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali akiwa amechelewa.
Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote.
View attachment 1874272
Kiukweli hata mi nilikunywa kikombe tena zaidi ya mara moja.
Delta inafagia sana. Mungu ampumnzishe kwa amani.Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.
Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali akiwa amechelewa.
Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote.
View attachment 1874272
Babu kaondoka kabla hajaleta kikombe cha kutibu corona.
RIP Legend.
Ni uviko.
Covid denier in chief kumbe alikataa chanjo kwa sababu ya imani yake kwenye mavikombe ile ya babu loliondo na ile ya rajoeliba madagascarWifi yangu alifariki baada ya kufuata ushauri wa babu, aache kunywa dawa za kizungu baada ya kikombe. RIP babu.
Delta inafagia sana. Mungu ampumnzishe kwa amani.
Mkuu nadhani alikulia kwenye mazingira ya kuamini uchawi sana. Pamoja na kwenda shule hakubadilika. Hakuamini kwenye sayansi kabisa. Ila elimu yake inaonekana aliipata kimagumashi. Hata kutoweza kukimudu kiingereza ilikuwa ni matokeo ya kukosa elimu bora. Siyo lugha tu hata mazungumzo yake yalikuwa siyo ya mtu msomi kabisa.
1 Week ago
Taifa la matahira.Imagine hawa matahira ambao walikunywa kikombe cha babu ambacho hakikuwahi kufanyiwa tafiti yoyote ile ndiyo wanapinga chanjo iliyofanyiwa tafiti kwa kigezo kuwa chanjo hiyo haijafanyiwa tafiti.Pumzika kwa amani Babu wa kikombe cha miujiza.
Wasalimie sana wateja wako waliotangulia mbele za haki
View attachment 1874284View attachment 1874285
Hata wale ambao bado wangali hai watakumiss sana.
View attachment 1874292View attachment 1874293
Babu yetu apumzike salama amen!Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.
Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali akiwa amechelewa.
Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote.
View attachment 1874272
Bila delta kwa umri wake angeishi mpaka lini?! Picha tunazooneshwa humu ni zaidi ya miaka 10 imepita.Delta inafagia sana. Mungu ampumnzishe kwa amani.