TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Mkuu nadhani alikulia kwenye mazingira ya kuamini uchawi sana. Pamoja na kwenda shule hakubadilika. Hakuamini kwenye sayansi kabisa. Ila elimu yake inaonekana aliipata kimagumashi. Hata kutoweza kukimudu kiingereza ilikuwa ni matokeo ya kukosa elimu bora. Siyo lugha tu hata mazungumzo yake yalikuwa siyo ya mtu msomi kabisa.
Ha ha ha asee

Watu mnajua kunanga kwerii kweriii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Mzee alitusaidia sana 'Waswahili' 2011

Pole sana Comrade Jack Zoka kwa kuondokewa na ubunifu wako!
 
Huyu mzee alitengezwa na ccm Ili kupooza joto la kashfa ya richmond
 
Huyu mzee alileta chanjo yake ambayo haikutiliwa mashaka wala kuhojiwa madhara yake na kina Gwajima.

Mpaka kiongozi wa malaika, KAYAFA MKUU alienda kuichanja.

RIP mchanjaji usiyetiliwa mashaka na wanyonge.

Cc MENGELENI KWETU BAK Sky Eclat Evelyn Salt
Kikombe cha R.I.P Babu hakikua na ubaguzi.
I-am-now-safe-after-this-cup.jpg
2150596_EDMeMnwUcAEZNex-3.jpg
kikombe%2Bbabu.jpg
 
Niliponea muwasho mwilini kwa Babu! Tulikaa siku mbili foleni ya tatu km saa tano na nusu asubuhi tukapiga Kikombe. Ile adventure ilikuwa Safi Sana, sikuwahi fika pande hizo lkn Babu alinifikisha samunge, watu walishangaa walipomwona morani chotara, toilet ilikuwa issue, jioni Kuna baridi balaa, wasonjo wakileta kizungumkuti sometimes. Tulipofika ilikuwa jpili saa mbili asubuhi, foleni ni kama upo ubungo, halafu kwa Babu pawe pale faya aisee it was a lifetime experience. RIP Babu
 
Back
Top Bottom