TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Huyu mzee alileta chanjo yake ambayo haikutiliwa mashaka wala kuhojiwa madhara yake na kina Gwajima.

Mpaka kiongozi wa malaika, KAYAFA MKUU alienda kuichanja.

RIP mchanjaji usiyetiliwa mashaka na wanyonge.

Cc MENGELENI KWETU BAK Sky Eclat Evelyn Salt
Tofauti ni kwamba Babu hakuwa na form ya kujaza kabla ya kunywa kikombe kwamba litakalokupata Babu hausiki.
 
Mzee alitanguliza wengi,wacha tu awafuate,alikuwa anawaambia Wagonjwa wake waache kutumia Arv's al maarufu (mashudu) na wengi walizitupa dawa na kuamini kuwa hiyo supu ya mizizi ndio muarobaini wa matatizo ya ya Afya zao

Wengi waliangamia na baadhi nilikuwa nawajua.

Poleni sana Wafiwa au niiseme Kidigo?
 
Kwanini huyu mzee hakuchukuliwa hatua yeyote ile?

Kwanini aliachiwa kunywesha watu hiyo supu ya mizizi ambayo haikua imepitia vipimo na kupewa go on na mamlaka husika?
 
Kwanini huyu mzee hakuchukuliwa hatua yeyote ile?

Kwanini aliachiwa kunywesha watu hiyo supu ya mizizi ambayo haikua imepitia vipimo na kupewa go on na mamlaka husika?
Huyu Marehemu alikuwa anajiita 'Mchungaji' Ambikile Masapile,sasa kama ilivyo katika Bara zima la Afrika baadhi Wachungaji huwalisha Waumini wao Panya na Mende ambao wako hai na Serikali zao huwa zinaangalia tu bila kuchukua hatua zozote.
 
Back
Top Bottom