TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Babu tangulia nasi kina Mapito Mwanza twaja ukifika msalimie Mkuu wa maraika mwambie tuna songa ki dgital
 
Hii issue ya KIKOMBE CHA BABU ilikuwa ina watu behind kabisa na amini, ...kama ni yy peke ndio yalikuwa maarifa yk basi alitakiwa kuingia kwenye kitabu cha Guinness book.

Sifikiri kama kuna mtu mwingine ambaye anaweza kutokea kuja kuwa convince watu wa kila aina na ELIMU tofauti na nyazifa tofauti ..Wahindi, waraab,waafrica nk ya kwamba unakunywa kikombe kimoja unapona kila maradhi uliye kuwa nayo.

(The power of mind is more powerfully than the power of atomic Bomb or hydrogen Bomb).
 
Mzee kuona jam inaongezeka, akadai ukinywa zaidi ya mara moja utakufa.
 
Naitakia amani pole na familia yake.
UV CCM tumieni fursa sasa ya kutangaza kikombe kipya tuwaite vijana wa kikombe. Mpate hela mjikwamue
 
Huyu babu ndiye aliyebainisha kiwango cha ujinga nchini mwetu
 
Apumzike kwa Amani
 
R.I.P Mchungaji.Ninalolikumbuka kwake ni moja tuu kwamba kumbe Tanzania tulikuwa na wagonjwa wengi sana waliokuwa majumbani.maana si kwa umati ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…