Hio Ambulance ilikuwa main road ikawekwa pembeni au imetoka njia mchepuko?Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi.
Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa wagonjwa na jamii. Kiongozi anapewa kipaumbele kuliko maisha ya raia anayepigania pumzi yake — huu ni ushahidi wa udhaifu mkubwa wa uongozi.
Inakera sana viongozi wakiwa wanapita halafu uzuiliwe ukiwa unaenda kwenye shughuli zako.Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi.
Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa wagonjwa na jamii. Kiongozi anapewa kipaumbele kuliko maisha ya raia anayepigania pumzi yake — huu ni ushahidi wa udhaifu mkubwa wa uongozi.
Naunga mkono hojaSerikali ya ******* sana hii.
Utu manake utumbo wewe ulielewa vibayaVideo ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi.