Ni jana tu nilikuwa namsikiliza, na huu wimbo niliusikiliza mara nyingi.Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri za nyimbo za gospel.
Uimbaji wake unakonga moyo wangu natumahi pia kundi kubwa la watu kama mimi huvutiwi na uimbaji wake.
Ombi langu
View attachment 3043200
Ni nyimbo gani za Mwasongwe hukuvutia na kukonga moyo wako pale huzitegeapo sikio ?
Tumekubalika hii alifanya live performance.View attachment 3043314
Walidhani wanatukimbiza.....
Wimbo huwa unanifariji sana....Tumekubalika hii alifanya live performance.
Anauimbaji wake fulani hivi ukimsikiliza kwa makini lazima utake kumsikiliza tena na tena.Ni jana tu nilikuwa namsikiliza, na huu wimbo niliusikiliza mara nyingi.
Nikajisemea Ambwene hajapata heshima stahiki, anajua kuandika na kuimba vyema.