Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri

Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri za nyimbo za gospel.

Uimbaji wake unakonga moyo wangu natumahi pia kundi kubwa la watu kama mimi huvutiwi na uimbaji wake.

Ombi langu

Ni nyimbo gani za Mwasongwe hukuvutia na kukonga moyo wako pale huzitegeapo sikio ?
 
View attachment 3043200

Ni nyimbo gani za Mwasongwe hukuvutia na kukonga moyo wako pale huzitegeapo sikio ?
Ni jana tu nilikuwa namsikiliza, na huu wimbo niliusikiliza mara nyingi.

Nikajisemea Ambwene hajapata heshima stahiki, anajua kuandika na kuimba vyema.
 
Anauimbaji wake fulani hivi ukimsikiliza kwa makini lazima utake kumsikiliza tena na tena.
 
Screenshot_20240715-210301.jpg
 
Back
Top Bottom