Amebadilika siku chache kabla ya mahari

Amebadilika siku chache kabla ya mahari

Pole sana,,,.. Japo binti huenda kuna vitu umetuficha... sio rahisi sana Mwanaume kubadili maamuzi dakika za mwisho bila sababu...

But amini ana sababu kubwa zaidi na hajataka ufahamu,,, either anaona utaumia zaidi... USILOLIJUA HALIWEZI KUKUSUMBUA,,, endelea na maisha yako,,, sio kila kitu lazima ukijue... na sababu utayoona wewe sio ya msingi,, kwa mwingine inaweza kuwa ya msingi...

Pole sana,,... Haijalishi upo katika hali gani na machungu kiasi gani DAIMA usiache KULA.
 
Na kwanini mlimwambia alipe mahari wakati mzigo ameshautafuna na kuutumia kwa miaka minne mfululizo?

Hivi zama hizi bado kuna wanaume wanaopapatikia kuoa?
Sasa akitokea huyo mwanaume wa kutaka kuoa bado watu wanamdai alipe mahari, how? Akisepa mnalaumu.

Badilikeni jamani.
Wanawake wengi wamekuwa mizinguo kiasi hadi wanaume wengi wamekosa eager ya ndoa
 
Pole sana kwa unachokipitia ila Mungu ni mwema wakati wote, uwe wa kulia ama kucheka, huwezi jua anakuepusha na nini labda ungekuja kujuta zaidi baada ya hiyo ndoa so shukuru na muombe akutie nguvu, wakati sahihi na mtu sahihi uliyepangiwa anakuja. Polee
 
Dada hebu njoo pm nikuhoji vizuri..huyo jamaa usimkatie tamaa mapema kiasi icho..huyo bado ni anakupenda ila kuna jambo dogo sana halipo sawa.. wanawake wa kanda ya ziwa bhana.
 
Nikikumbuka 2019 kuna mwanamke nilimtolea mpaka na mahari lakin mwisho wa siku alinipiga na kitu kizito kichwani,maumivu unayopitia mm naona ni sawa tuu,katika wanawake huyo nilitokea kumpenda na alikuwa single mama ila baada ya kunitenda sijui ss hivi nawaonaje wanawake
 
Hawa viumbe achana nao kabisa. Mambo wanayo fanya kipindi hiki ni zaidi ya ukatiri,
 
Kuna kitu amejua kuhusu wewe au familia yako na kwao wamemkalisha na kumpa athari za kukuoa akakubaliana nao songa mbele ndo maisha
 
Nikikumbuka 2019 kuna mwanamke nilimtolea mpaka na mahari lakin mwisho wa siku alinipiga na kitu kizito kichwani,maumivu unayopitia mm naona ni sawa tuu,katika wanawake huyo nilitokea kumpenda na alikuwa single mama ila baada ya kunitenda sijui ss hivi nawaonaje wanawake
Hahahha uno la single mama lilikidatisha 🤣🤣🤣🤣 wanajua kitombanaa hao acha. Ukiwa mwanaume usio na msimamo u atangaza nia ya kuchukua jimbo moja kwa moja
 
Hahahha uno la single mama lilikidatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanajua kitombanaa hao acha. Ukiwa mwanaume usio na msimamo u atangaza nia ya kuchukua jimbo moja kwa moja

Ni kawaida ya malaya kuwa mjuvi wa mambo hayo maana anaya practice kwa miaka mingi kwa nini asiwe fundi ?! Sema ndio high risk na anakuwa cha wote huwezi kuwa naye peke yako au wanaume 2 tu ,

Saa yoyote mazingira yoyote hata akiwa amesafiri mazingira ya ugenini anakuwa mwepesi wa kukubali wanaume wengine wamle!

Sasa unakuta tangu yuko Shule ya msingi anajua kulala na wanaume wewe umemkuta akiwa level gani na umri gani ?!

Practice makes perfect!
 
Practice makes permanent! Maana aunaweza ukawa una naynduana kila leo lakini hujui kumridhisha mwanaume🤣🤣🤣🤣🤣

Alafu kwani tatizo lipo wapi mwanamke kutombwer na wanaume wengi? Sii as long as mwanamke mwenyewe anafurahia migegegdo na haingilii mambo ya wengine
 
Tatzo haliwez kuwa mahali hapo! Kuna kitu zaidi kakigundua ambacho hakukijua mwanzo kutoka kwako au kwny familia yako,

Nb: natabiri, atarud soon kuwa mpole, usimuoneshe huwez ishi bila yy.
 
Hapo usilaumu jamaa walaumu wazazi wako kwa kupanga mahari kubwa
 
Kwahiyo unataka kusema hawa waliokwenye ndoa wote walioana wakiwa bikira? Asikudanganye mtu Kama Mungu hajaruhusu Jambo haliwezi kutendeka, hivyo hiyo ndoa ni mpango wa Mungu isifungwe.
Ndoa kufungwa ni jambo moja na kudumu ikiwa na furaha na amani ya kweli ni jambo jingine.
 
Back
Top Bottom