Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!

Hakuna sheria wala kitu kama hicho labda Kama mali zilipatikana kabla au baada ya ndoa, chochote kilichopatikana wakati wa ndoa ni mali yenu wote, kurithisha mtoto au mama yako bila makubaliano ni batili
 
Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali, ana kipato kikubwa na mara nyingi yuko bize sana kazini, alinifungulia biashara na katika hii biashara ndiyo nikaja kukutana na huyu mwanaume. NIlikua natumia pesa ya biashara kumhonga huyu mwanaume mtaji ukiisha namumbia mume wangu ananipa mwingine. Kila kitu kilikua vizuri na ndugu zangu walikua upande wangu kwani nao nilikua nawapa pesa tu na kwa kuwa mume wangu si mtu wa kuhangaika na ndugu walimchukia bila kujua pesa zinatoka kwake.

Kilichotokea ni kuwa mimi na mume wangu tumechuma mali nyingi sana, tuna nyumba 12, hivyo katika kuongea na ndugu zangu na huyu mwanaume walinishawishi niombe talaka ili tugawane mali, na kwa kuwa mimi ni mke wake nilijua nitachukua nyumba 6 na yeye kubaki na nyumba sita. Nilianza kuhangaikia talaka tangu mwaka 2021, mume wangu alijua nachepuka, hata wanangu walikua wanajua na sikuwa naficha kwani nilikua nikifanya makusudi ili mume wangu aniache tupeane talaka.

Kila tukifika baraza la mtaa mume wangu alikuwa analia kama mtoto, anaomba kuhusu kurudiana kuwa bado ananipenda, ananipa pesa mimi narudi. Tunarudishwa namfanyia vituko mpaka basi. Mwaka huu tulipofika alikubali kuhusu kunipa talaka, mpaka mahakamani mimi ndiyo nilienda na mume wangu alikubali kunipa talaka. Nilipoorodhesha nyumba tulizonazo, mume wangu alisema nyumba hizo si zetu ni za watoto.

Mimi sikufuatilia na sikujua sababu ya mume wangu kuendelea kulazimishia kubaki na mimi. Kumbe nyumba zote na kila kitu chake alishabaidlisha na kuandika majina ya Watoto na ubaya nikuwa hata mimi nilisaini bila kujua. Alikua hataki kunipa talaka kwakua alikuwa anasubiri watoto wangu wakubwa wawili wafikishe miaka 18 ili wao ndiyo wawe wasimamizi wa mali za wadogo zao. Kanipa talaka kwani sasa hivi wanangu 3 wana zaidi ya miaka 18 na ndiyo kawaandika kama wamiliki na wanaisimamia za wadogo zao wawili. Yeye hamiliki chochote kwenye hizo mali hivyo talaka imetoka sina hata shilingi mia. Kaniachia duka lakini halina kitu kwani mtaji wote nilikua nikimtegemea yeye, mume wangu yeye ana kazi ana kipato kikubwa, na watoto wangu wakubwa hawanitaki kabisa kwani wanasema nilimdhalilisha baba yao.

Mwanaume niliyemtegemea naye kaniacha, hataki hata kuniona, yaani ana ndugu hawakutaka hata kunipokea, nimetoka kuishi nyumba ya ghorofa sasa naishi chumba kimoja. Nisaidie nimejifunza nimejua nilipokosea sitaki tena talaka, ni ndoa ya kanisani najua mbinguni bado ipo lakini namshawishije mume wangu kunirudia, naona kama ananikomoa. Tumeishi miaka 22 mimi na yeye, hanionei huruma hata nikimuomba matumizi ananiambia sina nisaidie najitoaje hapa!
Stupid b*itch, wahenga walilonga kuwa 'you reap what you sow'. Amepata stahiki yake hivyo aache kulialia.
 
Mmeishi miaka 22 kama alikuoa una 30 basi sa hivi una 52, kumbe na wazee bado mnahangaika na kuchepuka? ☹️☹️
 
Nyumba yangu nimemwandika mwanangu hahaha siku wife akijifanya mwanasheria sana atajua hajui
 
EX- wife aliponi peleka baraza la kata nakumbuka nilimwambia kuwa "nataman urudi nyumbani tuendelee na maisha, is okay kama utapenda a time alone apart from home kwa muda fulani, niambie, utakaa wapi, mimi nitalipa kodi lakini pumzika kwa miezi mitatu. Go anywhere,then ukitulia rudi nyumbani."

Akasema "na gharama za hapa baraza utalipa wewe?" Nikamwambia kama utakubali suluhu na request yangu ya kurud nyumban, sina shidda, nitalipa, japo ni wewe ndio umeleta shauri hili barazani, but i will pay, kikubwa ulewa nataka urudi nyumban, sipendi tuachane"

Akajifikiriaaaa, akasema "nataka kukaa nje kwa miezi sita" kisha baada ya hapo ndio nitakupa jibu kama nitarud au lah.

Nikasema " okay, kama hilo ni pendekezo lako, basi take even years, utakavyo, mimi sina la ziada".

Nikauliza kama wamemalizana na mimi,nikaomba kuondoka. Wakasema mbona hulipi gharama za baraza, ?nkkawajibu "my offer has been turned down, so mwenye shauri ndio atawalipa gharama zenu" na pesa ya kodi je? "Nikasema siwezi lipa, she doesnt want to comply".

Sometimes, ni muhimu sana kama mwanaume kujua unataka nini, vinginevyo, hawa viumbe watakuendesha mnooooooo
Kilichosababisha umng'ang'anie ni ulimpenda sana, sababu ya watoto, uoga wa kuanza upya au?
Naomba kujua
 
Upo fasta! Mara hii ushapenda tena😂
Muda mchache dogo. Watu hawana muda waa kukusubiri umalize kulia, simulia huku una ulia, watu wanakupenda hivyo hivyo, uta move on mbele ya safari ukiwa kwenye huba 😂
 
Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali, ana kipato kikubwa na mara nyingi yuko bize sana kazini, alinifungulia biashara na katika hii biashara ndiyo nikaja kukutana na huyu mwanaume. NIlikua natumia pesa ya biashara kumhonga huyu mwanaume mtaji ukiisha namumbia mume wangu ananipa mwingine. Kila kitu kilikua vizuri na ndugu zangu walikua upande wangu kwani nao nilikua nawapa pesa tu na kwa kuwa mume wangu si mtu wa kuhangaika na ndugu walimchukia bila kujua pesa zinatoka kwake.

Kilichotokea ni kuwa mimi na mume wangu tumechuma mali nyingi sana, tuna nyumba 12, hivyo katika kuongea na ndugu zangu na huyu mwanaume walinishawishi niombe talaka ili tugawane mali, na kwa kuwa mimi ni mke wake nilijua nitachukua nyumba 6 na yeye kubaki na nyumba sita. Nilianza kuhangaikia talaka tangu mwaka 2021, mume wangu alijua nachepuka, hata wanangu walikua wanajua na sikuwa naficha kwani nilikua nikifanya makusudi ili mume wangu aniache tupeane talaka.

Kila tukifika baraza la mtaa mume wangu alikuwa analia kama mtoto, anaomba kuhusu kurudiana kuwa bado ananipenda, ananipa pesa mimi narudi. Tunarudishwa namfanyia vituko mpaka basi. Mwaka huu tulipofika alikubali kuhusu kunipa talaka, mpaka mahakamani mimi ndiyo nilienda na mume wangu alikubali kunipa talaka. Nilipoorodhesha nyumba tulizonazo, mume wangu alisema nyumba hizo si zetu ni za watoto.

Mimi sikufuatilia na sikujua sababu ya mume wangu kuendelea kulazimishia kubaki na mimi. Kumbe nyumba zote na kila kitu chake alishabaidlisha na kuandika majina ya Watoto na ubaya nikuwa hata mimi nilisaini bila kujua. Alikua hataki kunipa talaka kwakua alikuwa anasubiri watoto wangu wakubwa wawili wafikishe miaka 18 ili wao ndiyo wawe wasimamizi wa mali za wadogo zao. Kanipa talaka kwani sasa hivi wanangu 3 wana zaidi ya miaka 18 na ndiyo kawaandika kama wamiliki na wanaisimamia za wadogo zao wawili. Yeye hamiliki chochote kwenye hizo mali hivyo talaka imetoka sina hata shilingi mia. Kaniachia duka lakini halina kitu kwani mtaji wote nilikua nikimtegemea yeye, mume wangu yeye ana kazi ana kipato kikubwa, na watoto wangu wakubwa hawanitaki kabisa kwani wanasema nilimdhalilisha baba yao.

Mwanaume niliyemtegemea naye kaniacha, hataki hata kuniona, yaani ana ndugu hawakutaka hata kunipokea, nimetoka kuishi nyumba ya ghorofa sasa naishi chumba kimoja. Nisaidie nimejifunza nimejua nilipokosea sitaki tena talaka, ni ndoa ya kanisani najua mbinguni bado ipo lakini namshawishije mume wangu kunirudia, naona kama ananikomoa. Tumeishi miaka 22 mimi na yeye, hanionei huruma hata nikimuomba matumizi ananiambia sina nisaidie najitoaje hapa!
Ndoa ina miaka 22, watoto watatu wana zaidi ya miaka 18. Hii ni chai lakini kuna la kuwafunza wanawake
 
Kwa niaba ya watembeza gahawa nikukaribishe kwenye chama chetu wewe kuanzia leo ni makamu mwenyekiti wa chama.😁😁
Otherwise
You are lucky that man did not mada you.
Huwezi kumfanyia vyote hivyo mtu umezaa naye watoto na ukawa sawa unless you are BOTH mentally and psychologically malajested.
 
Baada ya kufeli jaribio lako la kishetani ndiyo unatafuta ushauri ila ungefanikiwa wala usingejali. Pambana na huyo mpenzi mpya mjenge nyumba zenu. KATAA NDOA KIMBIA NDOA KIJANA
 
kudadeki mpaka raha.nenda kwa waliokuwa wanakupiga miti wakati unachepuka.HII MBINU NIMEIPENDA....UNAFUNGWA GOLI DAKIKA ZA JIONI KABISA MPAKA RAHA
 
Back
Top Bottom