Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!

Hakuna sheria wala kitu kama hicho labda Kama mali zilipatikana kabla au baada ya ndoa, chochote kilichopatikana wakati wa ndoa ni mali yenu wote, kurithisha mtoto au mama yako bila makubaliano ni batili
 
Stupid b*itch, wahenga walilonga kuwa 'you reap what you sow'. Amepata stahiki yake hivyo aache kulialia.
 
Mmeishi miaka 22 kama alikuoa una 30 basi sa hivi una 52, kumbe na wazee bado mnahangaika na kuchepuka? ☹️☹️
 
Nyumba yangu nimemwandika mwanangu hahaha siku wife akijifanya mwanasheria sana atajua hajui
 
Kilichosababisha umng'ang'anie ni ulimpenda sana, sababu ya watoto, uoga wa kuanza upya au?
Naomba kujua
 
Upo fasta! Mara hii ushapenda tenaπŸ˜‚
Muda mchache dogo. Watu hawana muda waa kukusubiri umalize kulia, simulia huku una ulia, watu wanakupenda hivyo hivyo, uta move on mbele ya safari ukiwa kwenye huba πŸ˜‚
 
Ndoa ina miaka 22, watoto watatu wana zaidi ya miaka 18. Hii ni chai lakini kuna la kuwafunza wanawake
 
Kwa niaba ya watembeza gahawa nikukaribishe kwenye chama chetu wewe kuanzia leo ni makamu mwenyekiti wa chama.😁😁
Otherwise
You are lucky that man did not mada you.
Huwezi kumfanyia vyote hivyo mtu umezaa naye watoto na ukawa sawa unless you are BOTH mentally and psychologically malajested.
 
Kwa niaba ya watembeza gahawa nikukaribishe kwenye chama chetu wewe kuanzia leo ni makamu mwenyekiti wa chama.😁😁
Otherwise
You are lucky that man did not mada you.
Huwezi kumfanyia vyote hivyo mtu umezaa naye watoto na ukawa sawa unless you are BOTH mentally and psychologically malajested.
 
Baada ya kufeli jaribio lako la kishetani ndiyo unatafuta ushauri ila ungefanikiwa wala usingejali. Pambana na huyo mpenzi mpya mjenge nyumba zenu. KATAA NDOA KIMBIA NDOA KIJANA
 
kudadeki mpaka raha.nenda kwa waliokuwa wanakupiga miti wakati unachepuka.HII MBINU NIMEIPENDA....UNAFUNGWA GOLI DAKIKA ZA JIONI KABISA MPAKA RAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…