Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!


Na bado hao watoto siyo wa kwake.
 
Hujui sheria ya talaka vizuri naona!!! Waulize wenzio wakuhadithie achana na story za kijiweni

Unazijua Mali za wanandoa yaaani matrimonial properties??
 
Hujui sheria ya talaka vizuri naona!!! Waulize wenzio wakuhadithie achana na story za kijiweni

Unazijua Mali za wanandoa yaaani matrimonial properties??
Sheria zikoje mkuu? Juzi nilikua nasikiliza kesi ya mgawanyo wa mirathi ambayo mwenye mali amemwandika dada yake kama msimamizi wa mirathi huku mkewake hajaandikwa. Mimi nadhani mwenye maamuzi na mali zake ni mwenye mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…