Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

Najua ni wewe
Usiwe na wasiwasi kama anatumia dawa vizuri na kaamua kukuweka wazi endelea nae huwezi pata ukimwi tena ikibidi muoe huyo binti uwe pia unamkumbusha kumeza dawa kwa usalama wake na wewe pia
Shida jf sikuhizi imejaza mataahira tu.

Ni mimi sawa.
 
Mkuu upwiru ni topic nyingine, simlaumu sana dogo sabab najua.

Kwenye upwiru ni rahisi sana kukumbuka shuka asbh

Na ile pisi imeumbika hata mm nisingechomoa wallahi
Peku hapana, kutembea na kinga sio uhuni ni kuijali afya yako.
 
Shida jf sikuhizi imejaza mataahira tu.

Ni mimi sawa.
Naona huo ukimwi umekuchanganya
Virusi vimeshatoka kwenye puru vimeenda kichwani
Unaomba ushauri unapewa unaanza kutukukana
Kwa hiyo unajiona mjanjanja na Umejiunga Jf 2019 sasa wewe si ndio wa juzi komaa na mada yako acha kutukana watu wewe mtoto mdogo wa juzi
Huo ndio mshahala wa umalaya wako
 
Asiwe na hofu uwezo wa kuambukiza ni mdogo sana ikiwa muathirika anatumia dawa vizuri na kwa kipindi kirefu ...

Baada ya miezi 3 (2) apime..

Huyo dada kwanini hakuwa mkweli kwake? Kwanini anakuwa na huruma baada ya kumpa tunda.. kwanini hakumshauri atumie kondom..

Hii roho Mbaya ya kuficha ukweli ipo saa kwa wenzetu waliopata hali hii mara nyingi ingawa sio wote.
 
Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo

Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara ya kwanza na huyo binti baada ya kushangazwa kukubaliwa ghafla. Baada ya hapo wamekua wakikulana tu peku peku.

Wiki iliopita sasa jamaa akamkazania yule binti wakapime sababu anadai rohoni alikua haamini amini kama anachakata ile pisi, alihofia kauziwa mbuzi kwenye gunia.

Sasa kila akimwambia binti khs kupima binti anakua mkali. Jamaa akasema basi tutemane, wakatemana. Sasa ile binti kafika kwake si akamtumia ujumbe jamaa yetu, kwamba yeye (binti) anampenda sana jamaa lkn alikua anamkatalia sababu anajijua ana UKIMWI, na alizaliwa nao, aliutoa kwa wazazi wake.

Lakini binti anadai amekua anatumia dawa kiasi kwamba hata baba wa mtoto wake(binti alikua single mom) alipimwa na hakukutwa na maambukizi. Binti akazidi kusema kwamba yeye ametumia dawa toka utotoni hivyo amefikia hatua ya kutokuambukiza. Na hata wakipima kwa vile vipimo vya nyumbani wanakuta negative ila ukweli ni kwamba binti anajijua anao.

Cha kushangaza zaidi yule baba wa mtoto wake yupo safe, na mtoto yupo safe. Na baba wa mtoto wake alijua kwamba binti anaumwa baada ya kupeana mimba. Alivyozaa wakaachana.

Sasa wakuu tumshauri huyu kijana mwenzetu, hapa hana amani anahisi na yy kaambukizwa ila binti anadai hawezi kuambukiza sababu anatumia dawa toka utotoni.

Wataalam wa mambo naombeni mtoe ushauri.

Ngoja nitag staff ya madaktari wa JF hapa, DJ walete na goma la feruzi fast forwad ile verse ya prof jay

DR Mambo Jambo
Herbalist Dr MziziMkavu
Dr. Mariposa
DR SANTOS
Na wengine wengi
Ni kweli kama katumia dawa uwezo wa kuambukiza ni mdogo sana aendelee tu na demu wake kama wanapendana risk ni 1% au kama vipi waendelee kwa kutumia cpndom ili awe na amani, na hata akipata mimba anajifungua mtoto negative science ime advance sana siku hizi
 
Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo

Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara ya kwanza na huyo binti baada ya kushangazwa kukubaliwa ghafla. Baada ya hapo wamekua wakikulana tu peku peku.

Wiki iliopita sasa jamaa akamkazania yule binti wakapime sababu anadai rohoni alikua haamini amini kama anachakata ile pisi, alihofia kauziwa mbuzi kwenye gunia.

Sasa kila akimwambia binti khs kupima binti anakua mkali. Jamaa akasema basi tutemane, wakatemana. Sasa ile binti kafika kwake si akamtumia ujumbe jamaa yetu, kwamba yeye (binti) anampenda sana jamaa lkn alikua anamkatalia sababu anajijua ana UKIMWI, na alizaliwa nao, aliutoa kwa wazazi wake.

Lakini binti anadai amekua anatumia dawa kiasi kwamba hata baba wa mtoto wake(binti alikua single mom) alipimwa na hakukutwa na maambukizi. Binti akazidi kusema kwamba yeye ametumia dawa toka utotoni hivyo amefikia hatua ya kutokuambukiza. Na hata wakipima kwa vile vipimo vya nyumbani wanakuta negative ila ukweli ni kwamba binti anajijua anao.

Cha kushangaza zaidi yule baba wa mtoto wake yupo safe, na mtoto yupo safe. Na baba wa mtoto wake alijua kwamba binti anaumwa baada ya kupeana mimba. Alivyozaa wakaachana.

Sasa wakuu tumshauri huyu kijana mwenzetu, hapa hana amani anahisi na yy kaambukizwa ila binti anadai hawezi kuambukiza sababu anatumia dawa toka utotoni.

Wataalam wa mambo naombeni mtoe ushauri.

Ngoja nitag staff ya madaktari wa JF hapa, DJ walete na goma la feruzi fast forwad ile verse ya prof jay

DR Mambo Jambo
Herbalist Dr MziziMkavu
Dr. Mariposa
DR SANTOS
Na wengine wengi
Daaah hadi MziziMkavu umemuita...
Unategema nini hapo 😂😂😂😂😂
 
Naona huo ukimwi umekuchanganya
Virusi vimeshatoka kwenye puru vimeenda kichwani
Unaomba ushauri unapewa unaanza kutukukana
Kwa hiyo unajiona mjanjanja na Umejiunga Jf 2019 sasa wewe si ndio wa juzi komaa na mada yako acha kutukana watu wewe mtoto mdogo wa juzi
Huo ndio mshahala wa umalaya wako
Tusitumie lugha zenye kuudhi hajafanya umalaya amelala na mwanamke wa ndoto yake kama wote tunavyopitia sasa dhihaka na kejeli sio sawa mkuu , na hata wewe hujui kesho yako na vile vile kwa scenario yake hajaambukizwa ila akapime
 
Umefatilia alivyonijibu ??
 
Back
Top Bottom