Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

Najua ni wewe
Usiwe na wasiwasi kama anatumia dawa vizuri na kaamua kukuweka wazi endelea nae huwezi pata ukimwi tena ikibidi muoe huyo binti uwe pia unamkumbusha kumeza dawa kwa usalama wake na wewe pia
Shida jf sikuhizi imejaza mataahira tu.

Ni mimi sawa.
 
Mkuu upwiru ni topic nyingine, simlaumu sana dogo sabab najua.

Kwenye upwiru ni rahisi sana kukumbuka shuka asbh

Na ile pisi imeumbika hata mm nisingechomoa wallahi
Peku hapana, kutembea na kinga sio uhuni ni kuijali afya yako.
 
Shida jf sikuhizi imejaza mataahira tu.

Ni mimi sawa.
Naona huo ukimwi umekuchanganya
Virusi vimeshatoka kwenye puru vimeenda kichwani
Unaomba ushauri unapewa unaanza kutukukana
Kwa hiyo unajiona mjanjanja na Umejiunga Jf 2019 sasa wewe si ndio wa juzi komaa na mada yako acha kutukana watu wewe mtoto mdogo wa juzi
Huo ndio mshahala wa umalaya wako
 
Asiwe na hofu uwezo wa kuambukiza ni mdogo sana ikiwa muathirika anatumia dawa vizuri na kwa kipindi kirefu ...


Baada ya miezi 3 (2) apime..

Huyo dada kwanini hakuwa mkweli kwake? Kwanini anakuwa na huruma baada ya kumpa tunda.. kwanini hakumshauri atumie kondom..

Hii roho Mbaya ya kuficha ukweli ipo saa kwa wenzetu waliopata hali hii mara nyingi ingawa sio wote.
 
Ni kweli kama katumia dawa uwezo wa kuambukiza ni mdogo sana aendelee tu na demu wake kama wanapendana risk ni 1% au kama vipi waendelee kwa kutumia cpndom ili awe na amani, na hata akipata mimba anajifungua mtoto negative science ime advance sana siku hizi
 
Daaah hadi MziziMkavu umemuita...
Unategema nini hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tusitumie lugha zenye kuudhi hajafanya umalaya amelala na mwanamke wa ndoto yake kama wote tunavyopitia sasa dhihaka na kejeli sio sawa mkuu , na hata wewe hujui kesho yako na vile vile kwa scenario yake hajaambukizwa ila akapime
 
Tusitumie lugha zenye kuudhi hajafanya umalaya amelala na mwanamke wa ndoto yake kama wote tunavyopitia sasa dhihaka na kejeli sio sawa mkuu , na hata wewe hujui kesho yako na vile vile kwa scenario yake hajaambukizwa ila akapime
Umefatilia alivyonijibu ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…