Hakuna taasisi zingine zaidi ya hizo benki mbili. na ana line 1 tuu ya simu, ni mtu namfahamu in details, japo siwezi kumsemea just because tuna undugu.Credit bearau (CRB) ambayo inachukua taarifa zote za mikopo uliyonayo kutoka kwa taasisi yoyote na makampuni ya simu! lazima una mkopo sehemu na wametoa taarifa zako kuwa wewe ni mkopaji mbaya haulipi madeni kwahiyo hapo huwezi kukopa!
Hajamsajilia mtu line?Hakuna taasisi zingine zaidi ya hizo benki mbili. na ana line 1 tuu ya simu, ni mtu namfahamu in details, japo siwezi kumsemea just because tuna undugu.
Sawa ila ndio tayari inasoma hivyo, na maana ya crb nimekupa! Hapo jamaa achekeche mwenyewe..huenda mtu kakopea salary slip yake huko na hamjui lolote!Hakuna taasisi zingine zaidi ya hizo benki mbili. na ana line 1 tuu ya simu, ni mtu namfahamu in details, japo siwezi kumsemea just because tuna undugu.
Huyo mtu niweweHakuna taasisi zingine zaidi ya hizo benki mbili. na ana line 1 tuu ya simu, ni mtu namfahamu in details, japo siwezi kumsemea just because tuna undugu.
CRB ni TAASISI ambayo kama kuna SEHEMU ukikopa halafu ukakwepa kulipa DENI, unawekwa jina lako huko ili usikopesheke kwingine kote.Muda si mrefu napokea simu kutoka kwa relative yangu mmoja,
Kisa chake alivyonisimulia kiko hivi. Ameenda benk, anataka aombe mkopo (basically kufanya top up).
Ila ana mkopo mwingin benk ya NMB.
Sasa huko akaambiwa kwenye mfumo kuna deni la milioni 3 NMB.
Alipoenda NMB napo wanaangalia wanamweleza kuwa na wao hawajui ila inasomeka CRB. Katika kuuliza ndo kitu gani na inatokana na nini nao hawana maelezo yaliyonyooka, ameishia kuahidiwa asubiri hadi kesho watafuatilia.
Nikamshauri labda una deni kwenye miamala ya simu, akasema hapana, isipokuwa alikuwa nadeni la 50k kwenye m pesa na aliclear kabla hajaenda huko. Kimsingi nimeshindwa cha kumjibu, hivi kuna wadau waliowahi kukutana na kadhia hii?
Nimewaza hiki kitu piaHajamsajilia mtu line?
Mkuu si angesubiri tu hiyo 24 hours, imekuwa haraka sana!!ameishia kuahidiwa asubiri hadi kesho watafuatilia.
Ndio udaiwe 3milion bima kujuaI can bet huyo mtu kweli anadaiwa. Ila tu kwa sababu ya kuishi kimazoea hawezi jua deni limetoka wapi mpaka aambiwe.
Sasa kama jumuiya ya madola na nchi hisani zilizokuwa zikisuport Budjet yetu kwa misaada zimejitoa, tutegemee nini? Hivi mpaka kufikia hatua ya kuuza hazina ya shahabu ilikusuport miradi ya ndani unazani ni mchezo mkuu.? Kiufupi TUNAANGAMIA KIUCHUMI.Huu upumbavu tulizoea kusikia huko Congo na Burundi.
Sikutarajia kama nchi yetu itafikia huku.
Rudia kusoma hapo kwenye boldKisa chake alivyonisimulia kiko hivi. Ameenda benk, anataka aombe mkopo (basically kufanya top up).
Ila ana mkopo mwingin benk ya NMB.