Amefika benki na kukuta deni ambalo halifahamu

Amefika benki na kukuta deni ambalo halifahamu

Sasa kama jumuiya ya madola na nchi hisani zilizokuwa zikisuport Budjet yetu kwa misaada zimejitoa, tutegemee nini? Hivi mpaka kufikia hatua ya kuuza hazina ya shahabu ilikusuport miradi ya ndani unazani ni mchezo mkuu.? Kiufupi TUNAANGAMIA KIUCHUMI.
Unaambiwa hadi international airports zimeuzwa
 
Arudi kesho kama walovyomiahidi atapata muafaka. Maisha ya sasa ni mifumo hakuna wa kitakachokosa evidence source
Mimi naweza kukukatalia mwaka juzi ndugu yangu alienda kulima ufuta sasa simu ikaharibika huko liwale...kwahiyo akakakaa miezi 2 sasa kwenye line ya Tigo kulikuwa na laki 3 basi bwamdogo akajiandaa kwenda mjini kufanya manunuzi kwa kuamini kwenye line ipo pesa....ile Kafika kwa wakala akamuomba simu awoke laini ile kuweka kutoa pesa haitoki anaambiwa Hana salio la kutosha baadae kuuliza Salio anaambiwa ipo elfu 17 kuwapia Tigo wanamwambia ulituma pesa kumtumia mtu akadai akachoka tu
 
Huyo relative wako ndio wewe,sijui kwanini hua hamfunguki,

Halafu umeambiwa usubiri mpaka kesho ili upewe majibu na wahusika,ila wewe ukakimbilia JF kuanzisha uzi,

Kwahiyo members wa JF ndio watakua na majibu ya uhakika kuliko hao Bank wenyewe?
 
Akili yako unaijua mwenyewe. na bahati mbaya hatuonani face to face ka hiyo sikulaumu
 
(basically kufanya top up).
Ila ana mkopo mwingin benk ya NMB.

Sasa huko akaambiwa kwenye mfumo kuna deni la milioni 3 NMB......Kama Ni Top Up Arudi Huko Huko Nmb,,Yaani Uchukue Mkopo Kwingine Then Ukafanye Top Up Kwingine...??Sidhani Kama Linawezekana Hili....Wataalamu Wapo Watatujuza...
 
Back
Top Bottom