Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Unaambiwa hadi international airports zimeuzwaSasa kama jumuiya ya madola na nchi hisani zilizokuwa zikisuport Budjet yetu kwa misaada zimejitoa, tutegemee nini? Hivi mpaka kufikia hatua ya kuuza hazina ya shahabu ilikusuport miradi ya ndani unazani ni mchezo mkuu.? Kiufupi TUNAANGAMIA KIUCHUMI.
Mimi naweza kukukatalia mwaka juzi ndugu yangu alienda kulima ufuta sasa simu ikaharibika huko liwale...kwahiyo akakakaa miezi 2 sasa kwenye line ya Tigo kulikuwa na laki 3 basi bwamdogo akajiandaa kwenda mjini kufanya manunuzi kwa kuamini kwenye line ipo pesa....ile Kafika kwa wakala akamuomba simu awoke laini ile kuweka kutoa pesa haitoki anaambiwa Hana salio la kutosha baadae kuuliza Salio anaambiwa ipo elfu 17 kuwapia Tigo wanamwambia ulituma pesa kumtumia mtu akadai akachoka tuArudi kesho kama walovyomiahidi atapata muafaka. Maisha ya sasa ni mifumo hakuna wa kitakachokosa evidence source
Achana na huo ambao upo unaendelea kukatwa. yaani amekuta kitu kingine nje ya huo mkopo unaofahamikaRudia kusoma hapo kwenye bold
Akili yako unaijua mwenyewe. na bahati mbaya hatuonani face to face ka hiyo sikulaumuHuyo relative wako ndio wewe,sijui kwanini hua hamfunguki,
Halafu umeambiwa usubiri mpaka kesho ili upewe majibu na wahusika,ila wewe ukakimbilia JF kuanzisha uzi,
Kwahiyo members wa JF ndio watakua na majibu ya uhakika kuliko hao Bank wenyewe?
Inashangaza, anajikataa.Huyo jamaa ako ni wewe mwenyewe,Acha kuzuga.
Kesho aliyosema ni jana, muulize mleta mada jana benki imemwambia nini.Ndio udaiwe 3milion bima kujua
Ndo hapo sasa,(basically kufanya top up).
Ila ana mkopo mwingin benk ya NMB.
Sasa huko akaambiwa kwenye mfumo kuna deni la milioni 3 NMB...