Ameimaliza Tanganyika, Amekamilisha Zanzibar Huru. Mkileta za Kuleta anarudi kwao Zanzibar

Walijaza machawa na wajinga bungeni kwa makusudi. Hata Bunge ningekuwa ba Watanganyika wote wasingefanya kitu.
 
Tatizo Watanganyika hawaitaki Tanganyika yao! Wamesusa... Wanafurahia kuishi ndani ya Tanzania ambayo ni cha wote!
 
Nyerere na CCM mlichotufanyia Watanganyika ni Mungu tu ndiye anayejua.
 
M@$ge kweli acha uchochezi pu@$#vu..
Anaweza manaake Nini,
Eb kimbia faster Kwa baasha Ako anakusibiri
 
Nyerere na CCM mlichotufanyia Watanganyika ni Mungu tu ndiye anayejua.
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika. Hapo ndipo mnapokosea kujenga hoja kwa kutumia misingi ya uwongo. Tanganyika ili cease ku exist tarehe 26/ 04/ 1964.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, ni watanzania 3 millioni tu kati ya 61 millioni ndiyo walizaliwa kabla ya muungano. 95% ya Watanzania wamezaliwa baada ya 1964 and thus Tanganyika to them is IRRELEVANT
 
Kwa udi na uvumba anatafuta muda mwingine ,ili akamilishe Zanzibar yenye jeshi kamili maana ake suala la majeshi lisiwe la muungano
HAYO MANENO YASIYOKUWA YA MSINGI NI YAKO. UNAMUWEKEA MAMA MDOMONI MWAKE. HIYO NI FITNA, NA FITNA NI MBAYA KULIKO KUUA
 
Kwa hiyo ndo mana ameunda vikosi vya kuwabaka na kuwalawiti Watanganyika ( Wabara) sio?
 
Kaka na dada katika UBORA wao!
WADANGANYIKA endeleeni kudanganyika!
Ni kweli usemayo muanzisha thread
 
Huduma za Afya kwa zenji ndo usiseme wajawazito wanatibiwa bure mpaka siku ya kuondoka wanapewa pampas bure, Kwenye umeme sasa ndo wanateleza tu! Ikitokea wanadeni la umeme basi ujue Tanganyika ndo italipa.
 
Huduma za Afya kwa zenji ndo usiseme wajawazito wanatibiwa bure mpaka siku ya kuondoka wanapewa pampas bure, Kwenye umeme sasa ndo wanateleza tu! Ikitokea wanadeni la umeme basi ujue Tanganyika ndo italipa.
Hela zote za Tanganyika anapeleka Zanzibar. Deni la Taifa linakua kwa sababu mbili. Moja Rushwa/ Ufisadi na mbili ni Hela nyingi zinazopaswa kutumika Tanganyika zinapelekwa Zanzibar
 
Siku akiondoka madarakani haya yote hayatakuwepo mbinqfsi sana huyu mtu
 
1. Toa sababu za kwa nini Tanganyika "ili cease ku exist tarehe 26/04/1964..." Kabla sijakuarua.
2. Niambie ni kwa nini mpaka leo Zanzibar bado inatambulika kama nchi kamili! Na ikiwa na Rais wake, serikali yake, Bunge lake, nk. halafu unasema Tanganyika ili cease ku exist?

3. Na uniambie hiyo tarehe 26/04/1964 ulifanyika Muungano wa nchi mbili ambazo ni zipi kwa uelewa wako?

NB:- Ufahamu kuanzia leo (kama ulikuwa hujui) mimi ni raia wa Tanganyika! na nimezaliwa, na ninaishi Mkoa wa Tanga. Ok?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…