Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora uende ukachukue mtoto kwenye nyumba za yatima kuliko kulea ambaye uligongewa mkeoUkiwachukua wewe inatosha Mkuu. Maisha ni Safari.
Hakuna ushujaa wowote kulea mtoto unayejua kuwa sio wako, tena kwa MKE wako.
Hayo mambo unapaswa kuamuachia YESU, yeye ndio mkombozi wa dunia. Mt 11: 28-30.
Be a Man, yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
Jamaa licha ya kua safarini kikazi, lakini inaonekana hajawahi kukosa kuhudhuria vikao vya wanaume hata kimoja.....Hongera kwa mume, hata hajataka mambo mengi, Kaepusha shari kawaacha watafunane vizuri.
Mtu mpaka anavua chupi anapanua paja, MB inachomoka anairudishia tena kwa mahaba. Hebu watu wavae viatu vya Mume kwanza.
Kwanini mkuuKweli hakuna mungu
Paroko wake anasemajeSasa siku ya jumapili tar 20 mke alienda kanisani baada ya kurudi akakuta mume kabeba kinacho mfaa na akatokomea anapojua yeye.
Hii siyo kauli mtumish bali ni maandiko ni neno la MWENYEZI MUNGU ndo lisemalo hivyo ni bible takatifuHii kauli tunaisemaga kwa nguvu kama sahani haipo upande wetu. Nikweli lakini
Bado ni kauli ya maandiko mtumishi. Nasemea tu ule ugumu wa kuikiri. Kama vile tu inavyokuaga ugumu kushukuru pale tulivyojibiwa au kupokea ambavyo kinyume/tulivyotarajia 😊Hii siyo kauli mtumish bali ni maandiko ni neno la MWENYEZI MUNGU ndo lisemalo hivyo ni bible takatifu
Ubalikiwe sana mtumish uelewa wako ulikuwa hatua Saba mbele ya uelewa wanguBado ni kauli ya maandiko mtumishi. Nasemea tu ule ugumu wa kuikiri. Kama vile tu inavyokuaga ugumu kushukuru pale tulivyojibiwa au kupokea ambavyo kinyume/tulivyotarajia 😊
Hv kwan kurudi kijiji kwenu ni kufirisika?Nyegez mbaya sanaaaa, hivi mimi nimefirisika ,na kurud kijijini kwetu.
Basi pale MArangu kuna sanamu kubwa limejengwa la mama amebeba mtoto karibu na maporomoko ya mto .........Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo.
Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida
Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa anaishi na mume wake ambaye wamezaa mtoto mmoja
Mume alisafiri kutokea mwezi wa tano mwaka huu hivo kuna mwanaume jirani akaona jimbo liko wazi basi akawa amekaimu na kuendelea kula mema ya dunia
Sasa mwezi huu wa kumi mwaka huu mume alirejea nyumbani na kukuta mke wake anao ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 2
Mke akadai kuwa ni wa huyo mume wake, mume akaukataa na kudai hajahusika na huo ujauzito ikabidi ashirikishe familia ya mke, nilivoambiwa walisuluhishwa
Sasa siku ya jumapili tar 20 mke alienda kanisani baada ya kurudi akakuta mume kabeba kinacho mfaa na akatokomea anapojua yeye.
Huyu ndugu yangu akaamua kuchukua maamuzi magumu ya kunywa sumu na kupoteza maisha,
Baada ya tukio kutokea jioni huyu jamaa aliyekaimu nafasi na kuweka kiumbe chake hapo naye ilipofika usiku naye akatoroka kuepuka lawama.
Tushazika mdogo wetu ili hili tukio limeacha maneno mengi na kulaumiana huku mwanaume mwenye mke akiibuka kama starling kwenye hii movie ya kushangaza na kusisimua.
View attachment 3132733