Amejiua baada ya Mume wake kakataa ujauzito

Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo.

Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida
Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa anaishi na mume wake ambaye wamezaa mtoto mmoja

Mume alisafiri kutokea mwezi wa tano mwaka huu hivo kuna mwanaume jirani akaona jimbo liko wazi basi akawa amekaimu na kuendelea kula mema ya dunia

Sasa mwezi huu wa kumi mwaka huu mume alirejea nyumbani na kukuta mke wake anao ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 2

Mke akadai kuwa ni wa huyo mume wake, mume akaukataa na kudai hajahusika na huo ujauzito ikabidi ashirikishe familia ya mke, nilivoambiwa walisuluhishwa

Sasa siku ya jumapili tar 20 mke alienda kanisani baada ya kurudi akakuta mume kabeba kinacho mfaa na akatokomea anapojua yeye.

Huyu ndugu yangu akaamua kuchukua maamuzi magumu ya kunywa sumu na kupoteza maisha,

Baada ya tukio kutokea jioni huyu jamaa aliyekaimu nafasi na kuweka kiumbe chake hapo naye ilipofika usiku naye akatoroka kuepuka lawama.

Tushazika mdogo wetu ili hili tukio limeacha maneno mengi na kulaumiana huku mwanaume mwenye mke akiibuka kama starling kwenye hii movie ya kushangaza na kusisimua.
View attachment 3132733
Acha life si ni jinga jinga,Kwa nini hajaenda Kwa aliyekuwa kaimu mume? 😂😂😂😂
 
Basi pale MArangu kuna sanamu kubwa limejengwa la mama amebeba mtoto karibu na maporomoko ya mto .........
basi huyo mama alijirusha hapo na mwanae wakafariki...
PAMEJENGWA SANAMU.....WAWEZA KWENDA KUPAONA......
Ila stori ni ugumu wa maisha ya ujane si kwamba ni TING TANG TING TANG........
Kinuka mori hii🤔
 
Nyege zinaponza sana, kuna vibrator kuna dildos lakin Mlokole huyo alisema ni dhambi hatimae sasa kajipotezea maisha baada ya kutoka kanisani kwa dhambi ile ile ya uzinzi.

Sikia: Kujichua kungemgharimu dhambi moja tu ila kungemtunzia uaminifu, uhai na amani ya ndoa.
Kucheat kumemgharimu dhambi ya uzinzi, kupoteza ndoa na mwisho kujiua ndo msala uko mbinguni kama kweli alikua anawish kwenda.
#Kabla ya Maamuz pima Plan zako.
 
Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo.

Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida
Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa anaishi na mume wake ambaye wamezaa mtoto mmoja

Mume alisafiri kutokea mwezi wa tano mwaka huu hivo kuna mwanaume jirani akaona jimbo liko wazi basi akawa amekaimu na kuendelea kula mema ya dunia

Sasa mwezi huu wa kumi mwaka huu mume alirejea nyumbani na kukuta mke wake anao ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 2

Mke akadai kuwa ni wa huyo mume wake, mume akaukataa na kudai hajahusika na huo ujauzito ikabidi ashirikishe familia ya mke, nilivoambiwa walisuluhishwa

Sasa siku ya jumapili tar 20 mke alienda kanisani baada ya kurudi akakuta mume kabeba kinacho mfaa na akatokomea anapojua yeye.

Huyu ndugu yangu akaamua kuchukua maamuzi magumu ya kunywa sumu na kupoteza maisha,

Baada ya tukio kutokea jioni huyu jamaa aliyekaimu nafasi na kuweka kiumbe chake hapo naye ilipofika usiku naye akatoroka kuepuka lawama.

Tushazika mdogo wetu ili hili tukio limeacha maneno mengi na kulaumiana huku mwanaume mwenye mke akiibuka kama starling kwenye hii movie ya kushangaza na kusisimua.
View attachment 3132733
Kitanda hakizai haramu, angebaki wakalea mtoto tu.
 
Sijui kwa nini Tanzania sekta ya ushauri nasaha watu wanaidharau sana
 
kataa ndoa!!
 
Back
Top Bottom