Amejiua baada ya Mume wake kakataa ujauzito

Bora uende ukachukue mtoto kwenye nyumba za yatima kuliko kulea ambaye uligongewa mkeo
 
Hongera kwa mume, hata hajataka mambo mengi, Kaepusha shari kawaacha watafunane vizuri.

Mtu mpaka anavua chupi anapanua paja, MB inachomoka anairudishia tena kwa mahaba. Hebu watu wavae viatu vya Mume kwanza.
Jamaa licha ya kua safarini kikazi, lakini inaonekana hajawahi kukosa kuhudhuria vikao vya wanaume hata kimoja.....

Ni mhudhuriaji mzuri sana na yupo makini muda wote wa vikao vya wanaume
 
Hii siyo kauli mtumish bali ni maandiko ni neno la MWENYEZI MUNGU ndo lisemalo hivyo ni bible takatifu
Bado ni kauli ya maandiko mtumishi. Nasemea tu ule ugumu wa kuikiri. Kama vile tu inavyokuaga ugumu kushukuru pale tulivyojibiwa au kupokea ambavyo kinyume/tulivyotarajia 😊
 
Hakuna fedheha kubwa kama hyo kutembea nje mpk uzae tena unamsingizia mume wako...hii ni zaidi ya ugaidi wa Hezbolah...
 
Bado ni kauli ya maandiko mtumishi. Nasemea tu ule ugumu wa kuikiri. Kama vile tu inavyokuaga ugumu kushukuru pale tulivyojibiwa au kupokea ambavyo kinyume/tulivyotarajia 😊
Ubalikiwe sana mtumish uelewa wako ulikuwa hatua Saba mbele ya uelewa wangu

MUNGU ni MWAMINIFU kondoo ameshinda tumfuate
 
Basi pale MArangu kuna sanamu kubwa limejengwa la mama amebeba mtoto karibu na maporomoko ya mto .........
basi huyo mama alijirusha hapo na mwanae wakafariki...
PAMEJENGWA SANAMU.....WAWEZA KWENDA KUPAONA......
Ila stori ni ugumu wa maisha ya ujane si kwamba ni TING TANG TING TANG........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…