Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti mmoja kwa Kisambaa, natamani japo anizalie katoto, mimi ni kijana sijaoa ila nina mpango wa kuoa apo mbeleni...
Lengo langu ni kumuoa huyu binti alieko chuo mwaka wa 2, ila sasa nataka azae kwanza, yeye yuko tiyari kwa masharti mawili, la kwanza apostpond chuo mwaka mmoja azae then arudi kuendelea, au aendelee mpaka amalize mimba iwe na miezi kadhaa..
Ila hizo nmekataa maana nmeona akiacha chuo then abebe apo tiyari ntakua nmeoa, akisema asbiri mwakani abebe naona atanichelewesha na lengo langu ni kupata mtoto before 26 years...
Kwa option zangu nmemwambia, ngoja nitafte msichana mwingine azae yeye atakuja kulea, kakubali niwe na msichana mwingine na kaaidi atalea na bado ananipenda au nkiamue nimskilize, apa akili yangu naona bora nitafte msichana mwingine ila kumuacha yeye sitamuacha...
Sema nyumbani wakijua namfanyia hivi huyu msichana watanitia korodani