small mind
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 129
- 58
Wakuu; Jumapii ya leo imenoga
Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto wake.Kwa kipindi cha mwaka mzima wa 2020 jamaa aipigika sana na kuteseka sana mpaka akachoka sasa anaamini kwamba chanzo kilikuwa nii huu uchawi wa kiarabu.
Kwa wanaofahamu tusaidieni maana ya huu uchawi na afanye nini maana jamaa ni mtu wa sala sana kwa sasa na anataka kumfukuza mke wake ila anahofu isije kuwa ni mama yake akajikuta anadhalilisha nyumba yake.
Je huu uchawi wa kuandika jina la mtu mara nyingi kwenye karatasi na kuuchoma sindano ni uchawi unaolenga nini?