Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Hadi huku wewe ni expert!!Kwenye nyumba wanaishi wawili halafu watu waliotajwa hapo n Zaid ya wawili,,,anyway afanye maombi ajiombee yeye mwenyewe, familia na nyumba yake kwa ujumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi huku wewe ni expert!!Kwenye nyumba wanaishi wawili halafu watu waliotajwa hapo n Zaid ya wawili,,,anyway afanye maombi ajiombee yeye mwenyewe, familia na nyumba yake kwa ujumla.
mtaalam una maneno magumu km lugha ya kih
Mkuu mimi ni mtafiti tu na sio mtaalamu natafiti huku nikuandika kitabumtaalam una maneno magumu km lugha ya kihabeshi
keep it up bro, pia asante kwa ushauri wako kwa sisi ndugu zako Watanzania. tuendelee kupeana maarifa na kutatua matatizo.Mkuu mimi ni mtafiti tu na sio mtaalamu natafiti huku nikuandika kitabu
[histories on anciety beliefs.] sema tatizo lake ni kwamba vitu vingi ni lazima uvijaribu na ku proofkeep it up bro, pia asante kwa ushauri wako kwa sisi ndugu zako Watanzania. tuendelee kupeana maarifa na kutatua matatizo.
pamoja sana kiongozi, shukrani tena.[histories on anciety beliefs.] sema tatizo lake ni kwamba vitu vingi ni lazima uvijaribu na ku proof
Huo uchawi unaitwa "Taweez" unaweza kusechi picha zake kwa google.Wakuu; Jumapii ya leo imenoga
Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto wake.Kwa kipindi cha mwaka mzima wa 2020 jamaa aipigika sana na kuteseka sana mpaka akachoka sasa anaamini kwamba chanzo kilikuwa nii huu uchawi wa kiarabu.
Kwa wanaofahamu tusaidieni maana ya huu uchawi na afanye nini maana jamaa ni mtu wa sala sana kwa sasa na anataka kumfukuza mke wake ila anahofu isije kuwa ni mama yake akajikuta anadhalilisha nyumba yake.
Je huu uchawi wa kuandika jina la mtu mara nyingi kwenye karatasi na kuuchoma sindano ni uchawi unaolenga nini?
Hii mtu anaweza kukufanyia akiwa mbali...?Huo uchawi unaitwa "Taweez" unaweza kusechi picha zake kwa google.
Ni uchawi mbaya sana huu unaoweza kufarakanisha mke na mume, kutia mtu nuksu, kufifisha nyota ya mtu, n.k.
Aina hii ya uchawi una njia maalum ya kuangamizwa, kuna mwengine unachoma, mwengine unalowesha kwenge maji ya chumvi, mwengine unafukia, n.k.
Kama hutojali nitumie picha ya hicho kikaratasi.
Narudia tena, huo ni uchawi mkali sana nimeona hata wahindi na waarabu wengi wamekuta vipande vya vikaratasi kama hicho huku maisha yao yakiwa yameharibika kwa kiasi kikubwa sana
Uchawi upo na utaendelea kuwepo na usimbwe ukarogwa ,kama alivosema mtangulizi wangu afumue hiyo shindano baada ya bismilahi x3 aitie kwenye maji na karatasi vile vile kwenye halafu anaweza kuichoma na maji kumwaga .Karatasi
Sindano
Jina x 9
Hati za kiarabu
Je zinaweza vipi kuathiri maisha ya mtu?
Nakumbuka nilipokuwa mdogo niliandika hati za kiarabu kwenye karatasi nyeupe alafu nikaweka kwenye chupa kisha nikaweka kwenye mchungwa mmojawapo shambani. Ajabu, Eti wezi waliokuwa wakiiba hawakuiba tena! Kwa kuamini shamba limekingwa!
That's why nikaona imani ni ugonjwa.
aisee hawa wanawake hawa!!!Huo uchawi unaitwa "Taweez" unaweza kusechi picha zake kwa google.
Ni uchawi mbaya sana huu unaoweza kufarakanisha mke na mume, kutia mtu nuksu, kufifisha nyota ya mtu, n.k.
Aina hii ya uchawi una njia maalum ya kuangamizwa, kuna mwengine unachoma, mwengine unalowesha kwenge maji ya chumvi, mwengine unafukia, n.k.
Kama hutojali nitumie picha ya hicho kikaratasi.
Narudia tena, huo ni uchawi mkali sana nimeona hata wahindi na waarabu wengi wamekuta vipande vya vikaratasi kama hicho huku maisha yao yakiwa yameharibika kwa kiasi kikubwa sana
Mimi ndiyo hapo ninapo kupendeaga [emoji23][emoji23][emoji23]Amwombe Mungu wake kwa imani yake, atende yaliyo mema, awapende na awe na amani na watu wote. Hakuna nguvu ya uharibifu itakayofanikiwa kwake.
Halafu 2020 ilikua ngumu kwa wengi sio sababu ya hayo aliyoona
Wapi hapo unaponipendeaga mrangi?Mimi ndiyo hapo ninapo kupendeaga [emoji23][emoji23][emoji23]
East Wind
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Yupo Yesu muweza wa yote amwite naye atamwitikia azidishe sala tu mambo yatakua poa.Wakuu; Jumapii ya leo imenoga
Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto wake.Kwa kipindi cha mwaka mzima wa 2020 jamaa aipigika sana na kuteseka sana mpaka akachoka sasa anaamini kwamba chanzo kilikuwa nii huu uchawi wa kiarabu.
Kwa wanaofahamu tusaidieni maana ya huu uchawi na afanye nini maana jamaa ni mtu wa sala sana kwa sasa na anataka kumfukuza mke wake ila anahofu isije kuwa ni mama yake akajikuta anadhalilisha nyumba yake.
Je huu uchawi wa kuandika jina la mtu mara nyingi kwenye karatasi na kuuchoma sindano ni uchawi unaolenga nini?
True hata mm sikukamilisha zaka niliyohaidi sitosahau mwaka huo wa kusoma nambaAmwombe Mungu wake kwa imani yake, atende yaliyo mema, awapende na awe na amani na watu wote. Hakuna nguvu ya uharibifu itakayofanikiwa kwake.
Halafu 2020 ilikua ngumu kwa wengi sio sababu ya hayo aliyoona
Watu wengi nliopata shuhuda zao walikuta vipande hivi vya karatasi kwenye mazingira ya wanapoishi,Hii mtu anaweza kukufanyia akiwa mbali...?
Kama nilivyoshauri, Hicho kikaratasi akipige picha akirudishie humo alipokikuta na asimmwambie mama au mke wake.aisee hawa wanawake hawa!!!
Kama mbali inafanyika ni hatari,unaweza kuta una mfululizo wa matatizo kumbe kamjamaa kamefanya mambo huko.Watu wengi nliopata shuhuda zao walikuta vipande hivi vya karatasi kwenye mazingira ya wanapoishi,
Ila huwezi jua, haya mambo mazito sana, inawezekana hata mtu akiwa mbali anaweza kukufanyia