Amekuta Uchawi wa Kiarabu Nyumbani Kwake

Karatasi
Sindano
Jina x 9
Hati za kiarabu

Je zinaweza vipi kuathiri maisha ya mtu?

Nakumbuka nilipokuwa mdogo niliandika hati za kiarabu kwenye karatasi nyeupe alafu nikaweka kwenye chupa kisha nikaweka kwenye mchungwa mmojawapo shambani. Ajabu, Eti wezi waliokuwa wakiiba hawakuiba tena! Kwa kuamini shamba limekingwa!

That's why nikaona imani ni ugonjwa.
As human tunauhusiano mkubwa sana na nambari na pia alfabeti hizi za kawaida katika mahesabu toka zama za kale sana zilizoanzia misri
 
Kwenye nyumba wanaishi wawili halafu watu waliotajwa hapo n Zaid ya wawili,,,anyway afanye maombi ajiombee yeye mwenyewe, familia na nyumba yake kwa ujumla.
 
Wala usihofu hakuna baya hapo wala mtu asikutishe kama alivyo sema mmoja hapo eti kuangamiza hahahah hakuna kuangamiza hapo huo ni ulinzi tu wa ndoa mama analinda mali yake isitoke nje kwa vicheche ucjali.
 
mtoa mada asubuhi asubhi unatafuta nini kwa rafikiako!? huna kwako!?
 
Wakuu; Jumapii ya leo imenoga

Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto wake.Kwa kipindi cha mwaka mzima wa 2020 jamaa aipigika sana na kuteseka sana mpaka akachoka sasa anaamini kwamba chanzo kilikuwa nii huu uchawi wa kiarabu.

Kwa wanaofahamu tusaidieni maana ya huu uchawi na afanye nini maana jamaa ni mtu wa sala sana kwa sasa na anataka kumfukuza mke wake ila anahofu isije kuwa ni mama yake akajikuta anadhalilisha nyumba yake.

Je huu uchawi wa kuandika jina la mtu mara nyingi kwenye karatasi na kuuchoma sindano ni uchawi unaolenga nini?
Ngoja Waislam waje watatusaidia

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu; Jumapii ya leo imenoga

Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto wake.Kwa kipindi cha mwaka mzima wa 2020 jamaa aipigika sana na kuteseka sana mpaka akachoka sasa anaamini kwamba chanzo kilikuwa nii huu uchawi wa kiarabu.

Kwa wanaofahamu tusaidieni maana ya huu uchawi na afanye nini maana jamaa ni mtu wa sala sana kwa sasa na anataka kumfukuza mke wake ila anahofu isije kuwa ni mama yake akajikuta anadhalilisha nyumba yake.

Je huu uchawi wa kuandika jina la mtu mara nyingi kwenye karatasi na kuuchoma sindano ni uchawi unaolenga nini?
Weka picha ya huo uchawi tukusaidie.....je huyo demu ni Mchagga au Mpare?
 
Karatasi
Sindano
Jina x 9
Hati za kiarabu

Je zinaweza vipi kuathiri maisha ya mtu?

Nakumbuka nilipokuwa mdogo niliandika hati za kiarabu kwenye karatasi nyeupe alafu nikaweka kwenye chupa kisha nikaweka kwenye mchungwa mmojawapo shambani. Ajabu, Eti wezi waliokuwa wakiiba hawakuiba tena! Kwa kuamini shamba limekingwa!

That's why nikaona imani ni ugonjwa.
Wema Sepetu alimfanyia Diamond hii pia baada ya kuachwa.
 
Back
Top Bottom