Amekuta Uchawi wa Kiarabu Nyumbani Kwake

Amekuta Uchawi wa Kiarabu Nyumbani Kwake

Tuanzie hapa kwanza

"Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto wake"

Mama
Mke
Watoto
Yeye mwenyewe
Jumla ngapi?? Au wengine sio watu hapo
 
Tuanzie hapa kwanza

"Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto wake"

Mama
Mke
Watoto
Yeye mwenyewe
Jumla ngapi?? Au wengine sio watu hapo
Hata mimi nimeshangaa ila nimejiongeza labda mama alikuja kusalimia tu haishi hapo na watoto wapo shule bweni, ama kwasabu tayari anawasiwasi na watu wawili ndio maana yeye na watoto akawatoa kwenye kundi.
 
Ni uchawi wa Kiarabu.[emoji1787]
Mwarabu adui yake mzungu tena mmarekani, mwambie andike you know what I aayinf, kwa slang Ile ya kimarekani uchawi wote unakufa
 
Hata mimi nimeshangaa ila nimejiongeza labda mama alikuja kusalimia tu haishi hapo na watoto wapo shule bweni, ama kwasabu tayari anawasiwasi na watu wawili ndio maana yeye na watoto akawatoa kwenye kundi.
Good analysis
 
Amwombe Mungu wake kwa imani yake, atende yaliyo mema, awapende na awe na amani na watu wote. Hakuna nguvu ya uharibifu itakayofanikiwa kwake.

Halafu 2020 ilikua ngumu kwa wengi sio sababu ya hayo aliyoona

Umeongea point sana

Wakusikia na asikie
 
Back
Top Bottom