Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Hakika yajayo yana mwelekeo wa kutufurahisha.

Samia keshachanganyikiwq huyo.

Huku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC…

Huku bado bunge la Marekani likiwa halijakamilosha maamuzi yake dhidi ya wauaji wa Oktoba 29…

Huku bado tukiwa tunasuburi maamuzi ya jumuiya ya madola…

Huku bado kesi feki ya Tundu Lissu ikiendelea na jumuiya ya kimataifa ikiifuatilia kwa karibu….

Huku kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29 inakaribia kuwadia…

Samia amekuwa kama kapigwa na kitu kizito kichwani na sasa hajitambui wala hajielewi!

Amekuwa kama mbawala aliyeko barabarani anayetaka kuvuka kwenda ng’ambo ya pili lakini taa za Lendrova [Land Rover] zinammulika machoni na kachanganyikiwa.

Hajui kama anaenda au anakuja. Hana uhakika kama avuke barabara au asivuke.

Mwishowe anaamua kuvuka huku Lendrova nayo ikiwa inapita.

Anaishia kugongwa na kubaki katikati ya barabara na kesho yake asubuhi na mapema watu wa idara ya wanyama pori wanakuja kuubeba mzoga wake.

Sasa sijui hao wanae wataishi wapi baada ya yeye kuzolewa toka katikati mwa barabara?

Watakimbilia Zanzibar? Wataenda Oman? Au watabaki hapa hapa Tanganyika?
 
Hivi atuwezi kuwaza na kufikiria kutatua matatizo yetu sisi wenyewe bado tunategemea hao wazungu kweli? Hivi kuna nchi ambayo matatizo hayo yalitatuliwa na wazungu na kwasasa mambo yapo shwari kabisa. Kuna kamanda aliwai kushauri kua kwanini USA na Uingereza wasijenge kambi zao za kijeshi hapa Tanzania ili watulinde dhidi ya CCM..
 
Uwezo huo haupo mkuu
 
Uwezo huo haupo mkuu
Si kweli,changamoto nikua kuna kundi limeaminishwa kua bila wazungu atuwezi kutatua matatizo yetu mfano ya utawala,uchumi nk. Nawaogopa sana watu wanaoshadadia kua Bunge la Ulaya,Marekani sijui mambo gani eti wanapitisha azimio... yaani kana tuenda shule kusoma ujinga. NAWASHANGAA WATU WASIOJUA MADHARA YA NEO-COLONIALISM.. Tunao uwezo wa kutatua changamoto zetu kiuhalisia achana na hizi zinazo kuzwa kwenye mitandao
 
Si kweli,kinachogomba nikua kuna kundi limeaminishwa kua bila wazungu atuwezi kutatua matatizo yetu mfano ya utawala,uchumi nk. Nawaogopa sana watu wanaoshadadia kua Bunge la Ulaya,Marekani sijui mambo gani eti wanapitisha azimio... yaani kana tuenda shule kusoma ujinga. NAWASHANGAA WATU WASIOJUA MADHARA YA NEO-COLONIALISM.. Tunao uwezo wa kutatua changamoto zetu kiuhalisia achana na hizi zinazo kuzwa kwenye mitandao

Mkuu unapozungumzia Dola unazungumzia majeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, unazungumzia rasilimali fedha. Unazungumzia Media. Unazungumzia mifumo ya usafirishaji. Unazungumzia mifumo ya imani na kidini.

Wananchi wanajinasuaje hapo na dude kama hilo?
 
Hakika yajayo yana mwelekeo wa kutufurahisha.

Samia keshachanganyikiwq huyo.

Huku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC…

Huku bado bunge la Marekani likiwa halijakamilosha maamuzi yake dhidi ya wauaji wa Oktoba 29…

Huku bado tukiwa tunasuburi maamuzi ya jumuiya ya madola…

Huku bado kesi feki ya Tundu Lissu ikiendelea na jumuiya ya kimataifa ikiifuatilia kwa karibu….

Huku kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29 inakaribia kuwadia…

Samia amekuwa kama kapigwa na kitu kizito kichwani na sasa hajitambui wala hajielewi!

Amekuwa kama mbawala aliyeko barabarani anayetaka kuvuka kwenda ng’ambo ya pili lakini taa za Lendrova [Land Rover] zinammulika machoni na kachanganyikiwa.

Hajui kama anaenda au anakuja. Hana uhakika kama avuke barabara au asivuke.

Mwishowe anaamua kuvuka huku Lendrova nayo ikiwa inapita.

Anaishia kugongwa na kubaki katikati ya barabara na kesho yake asubuhi na mapema watu wa idara ya wanyama pori wanakuja kuubeba mzoga wake.

Sasa sijui hao wanae wataishi wapi baada ya yeye kuzolewa toka katikati mwa barabara?

Watakimbilia Zanzibar? Wataenda Oman? Au watabaki hapa hapa Tanganyika?
I wish kila ulichoandika hapa kije kutokea ila ilo haliwezi tokea.

Mama ana power na yupo tayari kwa lolote ikiwezekana hata kuiingiza nchi kwenye janga zito ila abaki anatawala na aondoke safe.
 
Si kweli,changamoto nikua kuna kundi limeaminishwa kua bila wazungu atuwezi kutatua matatizo yetu mfano ya utawala,uchumi nk. Nawaogopa sana watu wanaoshadadia kua Bunge la Ulaya,Marekani sijui mambo gani eti wanapitisha azimio... yaani kana tuenda shule kusoma ujinga. NAWASHANGAA WATU WASIOJUA MADHARA YA NEO-COLONIALISM.. Tunao uwezo wa kutatua changamoto zetu kiuhalisia achana na hizi zinazo kuzwa kwenye mitandao
Hatuna huo uwezo lazima tusaidiwe acha akili zaekiCCM
 
Back
Top Bottom