Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

Mkuu haya masuala yapo wazi..
Tusipindishe ukweli..

Magenge ya utekaji kama hayana baraka za watawala mbona wanaohusika wangesha chukuliwa hatua...

Mtu anaongea kwa ubabe kiasi hiko, na kwa kutishia wananchi kiasi hiko, hapo mvunja amani ni mwananchi kweli?

View attachment 3658864
Hupo sahihi mkuu,hivi huyu tunabidi kuisubiri serikali ndiyo imshitaki kweli wakati sisi ndiyo tunaumia?
 
Yaan shida ya CCM hivi kweli mnasema watu wamevamia wamechoma vituo vya kupiga kula halafu mkashinda kwa asilimia 98%
Unakosea kujumuisha watu...aslimia ya kula aitokani na waliobidi kupiga kula bali kula zilizo pigwa mkuu. Mfano wanaobidi kupiga kula ni 10 ila wamepiga 6 na mgombea mmoja amepata kula 5 na mwingine 1 sasa weka kwenye aslimia mkuu,
 
Samia alipata kura million 31.
 
Back
Top Bottom