Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Wakumdaka utakuwa ww punguza kujipa umuhimu we mjingaNdiyo aende chadema akafanye harakati
Na akithubutu kuleta uchochezi tuh nayeye tunamdaka vile vile
Wakumdaka utakuwa ww punguza kujipa umuhimu we mjingaNdiyo aende chadema akafanye harakati
Na akithubutu kuleta uchochezi tuh nayeye tunamdaka vile vile
Wakumdaka utakuwa ww punguza kujipa umuhimu we mjinga
Acha mikwala wenye nguvu hawabwati kama nguruweAjaribu aone
🖕Ajaribu aone
WAnaofanya kazi ngumu za chama chenu na kikundi chao cha pale Magomeni chini ya wazanzibar anakijua chote na mfadhili ndio huyu hawapatani ...unafikiri itakuwa kiboya boya eeeh ?Ndiyo aende chadema akafanye harakati
Na akithubutu kuleta uchochezi tuh nayeye tunamdaka vile vile
La kumfanya lipo, na linakuja.Hayo yoote ni mahangaiko yenu nyie halafu mnataka kulazimishia eti yanampa taabu Samia.
Mwajitesa wenyewe tu huku Samia akiendelea kumfyeka kila anayemzingua na hamna la kumfanya zaidi ya kujipa matumaini hewa nyuma ya keyboard
Pamoja na hayo yote unayoyasema,namuona yupo imara na anatekeleza wajibu wake kama vile hakuna kitu.Japo mie siasa sina muda nazo,na sina chama hapa Tanzania,huyo mama anatukanwa left,right and centre lakini nchi inaenda tu.Haya sisi yetu macho
Sasa wewe utakua na tofauti gani na hao unaowalaum... kauli tu inaonesha ulivyo tu.Mambo kama haya bado yanaendelea kutuvua nguo CHADEMAKuteka na kufira raia ndio kutatua mambo yetu? You bitch give us a break
Bado tunarudi mule mule..ebu tuelimishane mfano wewe hupo madarakani na umeapa kulinda amani ya nchi hiyo.Wanatoke watu wanataka kukuondoa madarakani kwa njia ya kuchoma miundombinu,kuripua vituo vya mafuta,kuvamia vituo vya polisi, kuiba mali za watu,kuchoma na kuharibu miundombinu nk.Wewe kama ulieapa kulinda amani ya nchi watu hao ungewafanyaje ili kurejesha amani.KARIBU ILA USITUMIE MATUSI KUJADILI MAANA MAKAMANDA TUMEKALILI KUJIBU HOJA KWA MATUSI.Na tatizo lako umekaririshwa historia ya darasa la tatu na nne kuwa NEO COLONIALISM ni sharti ifanywe na wazungu (watu weupe) tu...
Hata hujui kuwa wapo weusi wenzetu wachache ni washenzi na wana tabia zilezile kama walivyokuwa makaburu na wakoloni wengine nyakati zile hapa Afrika...
Hivi fikiri hili...
Kwani mauaji ya 29/10/2025 ya maelfu ya watoto, kinamama na kinababa ili weusi wenzetu wachache, wenye tamaa ya madaraka wapate madaraka ya utawala kwa gharama za damu za weusi yalifanywa na wakoloni wa kizungu kwani au weusi wenzako kabisa hawahawa unaowaona binadamu lakini kumbe ni wanyama Bishweko?
Na kwa taarifa yako ni kuwa, hata katika karibu miaka 80+ ya utawala wa wakoloni Wajerumani na Waingereza (wazungu), hawa jamaa weupe (wazungu) hawakuwahi kuua watu wengi namna hiyo kwa wakati mmoja na ndani ya siku 2 tu ili kulazimisha utawala wao wa kikoloni...!!
Lakini Samia Suluhu Hassan (mweusi mwenzio) aliweza kufanya hivyo kwa siku 2 tu akaua watu hovyo mitaani kwa maelfu eti ili yeye na CCM yake watawale..!
Hizo ndizo akili za watu unaodai wanaweza kutatua mambo yao wenyewe bila msaada wa watu wenye akili zaidi kuliko wao...
Nasema hili kwa sbb akili ya kuua wanadamu wenzako ili eti upate madaraka na mamlaka ya kuwatawala wananchi uliowaua, hizo sio akili bali ni matope 100%...
Jingine ni hili..
Kwamba inawezekana vipi Samia Suluhu Hassan na weusi wenzake huko CCM anashindwa kuwa mkweli tu katika jambo dogo kabisa linaloitwa "maridhiano", badala yake wanajaribu kutumia ujanja ujanja, ulaghai ulaghai kwa kurubuni wengine kwa rushwa na hongo ili washiriki kwenye ulaghai wao lengo likiwa ni kufunika udhaifu na maovu yao badala ya kukiri makosa na kuyatubia...?
Unadhani watu hawa wana akili sawasawa za kufanya mambo mazuri pasipo msaada wa watu wengine wenye akili zaidi kuwazidi wao...?
Nina uhakika wewe ni mwanachadema mwenzangu ila una mihemko na hasira kitu ambacho wala akikuongezei faida yoyote bali fedheha tuBabayako angekuwa na akili bao lililokuleta angemwagia nje
We mzee mwenye chuki dhidi ya TEC. si samuya wala jiwe mwenye nguvu yake binafsi ya kufanya chochote (hata cha hovyo) dhidi ya mtz yeyote...hao wajinga wote walitembelea/wanatembelea mapungufu ya KATIBA yetu mbovu...baasi!.Ajaribu aone
😂😂 Wao wanaingilia kwa sababu hata nyie viongozi hamuambiliki !! Hivi kweli watu wote waliouwawa mtu anasimama mbela ya hadhara anachamba ! Mkianza kuona aibu na kuwajibika kwa matendo yenu ! Hakuna mgeni anayeweza kuingilia nyumba yetu !!Hivi atuwezi kuwaza na kufikiria kutatua matatizo yetu sisi wenyewe bado tunategemea hao wazungu kweli? Hivi kuna nchi ambayo matatizo hayo yalitatuliwa na wazungu na kwasasa mambo yapo shwari kabisa. Kuna kamanda aliwai kushauri kua kwanini USA na Uingereza wasijenge kambi zao za kijeshi hapa Tanzania ili watulinde dhidi ya CCM..
Kuna wanaoamini eti mna la kumfanya! Na wanasubiri tokea mlipowaambia mna la kumfanya but in veinLa kumfanya lipo, na linakuja.
We mzee mwenye chuki dhidi ya TEC. si samuya wala jiwe mwenye nguvu yake binafsi ya kufanya chochote (hata cha hovyo) dhidi ya mtz yeyote...hao wajinga wote walitembelea/wanatembelea mapungufu ya KATIBA yetu mbovu...baasi!.
Ila taifa limepata somo so mwisho wa rais mjinga kutawala itakuwa ni awamu hii ya 6!
Baaaaaaasi, mengine ni athari ya upumbavu wake tu.She is stupid.
"Mnaliangalia" wewe na kina nani?Kanisa halimpendi samia
Na tunaliangalia kwa umakini wa hali ya juu sana,wakae wakijua hilo