Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

Hayamtesi mtu...ila yana mchango mkubwa wa kuamua hatma ya kesho ya Taifa letu. Mliokula mkashiba leo, kesho njaa ikija mtalia na nani?

Tusiangalie mambo ya Taifa kama nchi inamalizika sisi tukimalizika...mambo ya ulimwengu hayaendi hivyo. Wote tunatakiwa kuwajibika na kujua kuwa kwa sasa tunatakiwa kutoa mchango mwema, kwa vizazi vijavyo.

Ukiona mtu anaiba mali za umma ili arithishe wajukuu wake ujue hamnazo. Baada ya kujenga ghoroja kadhaa kwa hali ya kawaida unaweza kufikiria umemaliza yote. Ila la hasha! Ya kesho yanaweza kuwa tofauti ukaacha maghorofa yanalaliwa na malofa.

Tupende kujifunza...tupende kuwajibika. Tupende kuipenda leo na kesho yetu bila jicho la choyo wala ubinafsi maana mambo yanabadilika
Hizi bado ni kelele tu.
Kitakachobadilika ni kutoka Samia aje mwingine naye tumwombee mabaya weeeee mpk amalize muda wake lkn Tz ni ile ile
 
Pamoja na hayo yote unayoyasema,namuoma yupo imara na anatekeleza wajibu wake kama vile hakuna kitu.Japo mie siasa sina muda nazo,na sina chama hapa Tanzania,huyo mama anatukanwa left,right and centre lakini nchi inaenda tu.Haya sisi yetu macho
Samia yupo imara?

Methinks not!

She’s faking the funk.
 
Kimeondoka chuma kimeingia chuma. Walidhani ni mwanamke mdhaifu
Sasa hii orodha haina hamu na Mama!
1. Ndugai
2.Tulia
3. Mpango
4. Nchimbi
5. Mbowe
6. Lissu
7. Majaliwa
8. Gwajima
9. Kitimaa
10. Nape
11. Makamba
12. Lukuvi
 
Na leo kaitisha kikao......
Chimbi Bway nae atakuwa Chini ya ulinzi kama ilivyo kwa makamu aliyepita.

Na ni kawaida yao kila makamu kufwatiliwa kuliko kawaida.
Chimbi wanalalamika ni mbea na wanadai uende Chadema sasa ufanye harakati.

Ndiyo aende chadema akafanye harakati

Na akithubutu kuleta uchochezi tuh nayeye tunamdaka vile vile
 
Naona anatengeneza mazingira hapo Uganda kikiwaka iwe ni smooth escape route muda wowote . Ruto haeleweki .

Akili za parokia hizo

Kipindi kile mwendazake alikuwa anashinda kampala kwa museveni kulala chato,hadi ikulu ilihamia chato na mlikuwa hamsemi

Leo Samia akikutana na Museven iwe nongwa??

Makafiri acheni chuki
 
Hakika yajayo yana mwelekeo wa kutufurahisha.

Samia keshachanganyikiwq huyo.

Huku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC…

Huku bado bunge la Marekani likiwa halijakamilosha maamuzi yake dhidi ya wauaji wa Oktoba 29…

Huku bado tukiwa tunasuburi maamuzi ya jumuiya ya madola…

Huku bado kesi feki ya Tundu Lissu ikiendelea na jumuiya ya kimataifa ikiifuatilia kwa karibu….

Huku kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29 inakaribia kuwadia…

Samia amekuwa kama kapigwa na kitu kizito kichwani na sasa hajitambui wala hajielewi!

Amekuwa kama mbawala aliyeko barabarani anayetaka kuvuka kwenda ng’ambo ya pili lakini taa za Lendrova [Land Rover] zinammulika machoni na kachanganyikiwa.

Hajui kama anaenda au anakuja. Hana uhakika kama avuke barabara au asivuke.

Mwishowe anaamua kuvuka huku Lendrova nayo ikiwa inapita.

Anaishia kugongwa na kubaki katikati ya barabara na kesho yake asubuhi na mapema watu wa idara ya wanyama pori wanakuja kuubeba mzoga wake.

Sasa sijui hao wanae wataishi wapi baada ya yeye kuzolewa toka katikati mwa barabara?

Watakimbilia Zanzibar? Wataenda Oman? Au watabaki hapa hapa Tanganyika?
Uarabuni oman ndio ndugu zake walipo
 
Hivi atuwezi kuwaza na kufikiria kutatua matatizo yetu sisi wenyewe bado tunategemea hao wazungu kweli? Hivi kuna nchi ambayo matatizo hayo yalitatuliwa na wazungu na kwasasa mambo yapo shwari kabisa. Kuna kamanda aliwai kushauri kua kwanini USA na Uingereza wasijenge kambi zao za kijeshi hapa Tanzania ili watulinde dhidi ya CCM..
Kuteka na kufira raia ndio kutatua mambo yetu? You bitch give us a break
 
Na leo kaitisha kikao......
Chimbi Bway nae atakuwa Chini ya ulinzi kama ilivyo kwa makamu aliyepita.

Na ni kawaida yao kila makamu kufwatiliwa kuliko kawaida.
Chimbi wanalalamika ni mbea na wanadai uende Chadema sasa ufanye harakati.
Mhhhh Vipepeo mpo wengi sn hm ndan
 
Back
Top Bottom