The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Mulemule wapi? Be specificBado tunarudi mule mule..
Una fikra fupi sana...ebu tuelimishane mfano wewe hupo madarakani na umeapa kulinda amani ya nchi hiyo.Wanatoke watu wanataka kukuondoa madarakani kwa njia ya kuchoma miundombinu,kuripua vituo vya mafuta,kuvamia vituo vya polisi, kuiba mali za watu,kuchoma na kuharibu miundombinu nk.
Nani kukuambia kila crime ni tishio la wewe kuondolewa madarakani?
Yaani majambazi yaibe huko kwenye nyumba ya mtu au watu wavunje Benki na kuiba wewe Rais uone kuwa hilo ni tishio la kukung'oa madarakani na uanze kujihami kijinga na kipumbavu kwa kuamuru majeshi kuua watu hovyo barabarani na mitaani..?
Are you really ok upstairs ndugu Bishweko?
Read me here very carefully my friend Bishweko....
Alichofanya Samia 29/10 na serikali yake yote kwa kuua watu hovyo kwa kisingizio hicho unachosema hapa si uongozi, bali ni desparation, insecurity, fear of unknown, hofu, mashaka, woga, na uhuni tu...
A true and good leader ni yule anayeweza kukabaliana na very serious challenges without causing chaos or more serious problems...
Hayo yote unayoyataja hapa ni makosa ya jinai ya kawaida yanayoyotokea kila siku na kila wakati na yanapaswa kushughulikiwa kirahisi tu kwa mujibu wa sheria zetu..
She was not supposed to go there....
Huwezi kulinda AMANI huku ukikanyaga na kupuuza HAKI za watu na raia...!Wewe kama ulieapa kulinda amani ya nchi watu hao ungewafanyaje ili kurejesha amani.KARIBU ILA USITUMIE MATUSI KUJADILI MAANA MAKAMANDA TUMEKALILI KUJIBU HOJA KWA MATUSI.
A simple rule kuhusu hoja yako ni kuwa: AMANI ni tunda HAKI. Bila HAKI forget about AMANI..
Na AMANI hailindwi kwa mtutu wa bunduki. AMANI hujilinda yenyewe kama watu wote tunapendana na kutendeana HAKI. Out o that, it's always chaos and disasters...!
