Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
She is stupid.Shida ya reactive leadership ndio hii.
Yap reactive, leadership inayoenda na trends badala ya facts. Soon wata collapse vibayaShida ya reactive leadership ndio hii.
Nchi imekwama pakubwa haswa
Kanisa hapa limeingiaje wewe mzee?!Hiyo ni kwa mujibu wa nyinyi na kanisa lenu
Nchi ipo vizuri na ile DP World bado inawanyima usingiz
Hivi atuwezi kuwaza na kufikiria kutatua matatizo yetu sisi wenyewe bado tunategemea hao wazungu kweli? Hivi kuna nchi ambayo matatizo hayo yalitatuliwa na wazungu na kwasasa mambo yapo shwari kabisa. Kuna kamanda aliwai kushauri kua kwanini USA na Uingereza wasijenge kambi zao za kijeshi hapa Tanzania ili watulinde dhidi ya CCM..Hakika yajayo yana mwelekeo wa kutufurahisha.
Samia keshachanganyikiwq huyo.
Huku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC…
Huku bado bunge la Marekani likiwa halijakamilosha maamuzi yake dhidi ya wauaji wa Oktoba 29…
Huku bado tukiwa tunasuburi maamuzi ya jumuiya ya madola…
Huku bado kesi feki ya Tundu Lissu ikiendelea na jumuiya ya kimataifa ikiifuatilia kwa karibu….
Huku kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29 inakaribia kuwadia…
Samia amekuwa kama kapigwa na kitu kizito kichwani na sasa hajitambui wala hajielewi!
Amekuwa kama mbawala aliyeko barabarani anayetaka kuvuka kwenda ng’ambo ya pili lakini taa za Lendrova [Land Rover] zinammulika machoni na kachanganyikiwa.
Hajui kama anaenda au anakuja. Hana uhakika kama avuke barabara au asivuke.
Mwishowe anaamua kuvuka huku Lendrova nayo ikiwa inapita.
Anaishia kugongwa na kubaki katikati ya barabara na kesho yake asubuhi na mapema watu wa idara ya wanyama pori wanakuja kuubeba mzoga wake.
Sasa sijui hao wanae wataishi wapi baada ya yeye kuzolewa toka katikati mwa barabara?
Watakimbilia Zanzibar? Wataenda Oman? Au watabaki hapa hapa Tanganyika?
Mfano huduma za afya hamna,amani hamna,mishahara hamna,shule na vyuo vimefungwa,usafiri hamna,... Hivi mbona maisha ya mitandaoni na huku uraiani ni tofauti sanaNchi imekwama pakubwa haswa
Hivi atuwezi kuwaza na kufikiria kutatua matatizo yetu sisi wenyewe bado tunategemea hao wazungu kweli? Hivi kuna nchi ambayo matatizo hayo yalitatuliwa na wazungu na kwasasa mambo yapo shwari kabisa. Kuna kamanda aliwai kushauri kua kwanini USA na Uingereza wasijenge kambi zao za kijeshi hapa Tanzania ili watulinde dhidi ya CCM..
Nyani......Anaishia kugongwa na kubaki katikati ya barabara na kesho yake asubuhi na mapema watu wa idara ya wanyama pori wanakuja kuubeba mzoga wake.
Si kweli,changamoto nikua kuna kundi limeaminishwa kua bila wazungu atuwezi kutatua matatizo yetu mfano ya utawala,uchumi nk. Nawaogopa sana watu wanaoshadadia kua Bunge la Ulaya,Marekani sijui mambo gani eti wanapitisha azimio... yaani kana tuenda shule kusoma ujinga. NAWASHANGAA WATU WASIOJUA MADHARA YA NEO-COLONIALISM.. Tunao uwezo wa kutatua changamoto zetu kiuhalisia achana na hizi zinazo kuzwa kwenye mitandaoUwezo huo haupo mkuu
Stupid is understatement.She is stupid.
Si kweli,kinachogomba nikua kuna kundi limeaminishwa kua bila wazungu atuwezi kutatua matatizo yetu mfano ya utawala,uchumi nk. Nawaogopa sana watu wanaoshadadia kua Bunge la Ulaya,Marekani sijui mambo gani eti wanapitisha azimio... yaani kana tuenda shule kusoma ujinga. NAWASHANGAA WATU WASIOJUA MADHARA YA NEO-COLONIALISM.. Tunao uwezo wa kutatua changamoto zetu kiuhalisia achana na hizi zinazo kuzwa kwenye mitandao
I wish kila ulichoandika hapa kije kutokea ila ilo haliwezi tokea.Hakika yajayo yana mwelekeo wa kutufurahisha.
Samia keshachanganyikiwq huyo.
Huku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC…
Huku bado bunge la Marekani likiwa halijakamilosha maamuzi yake dhidi ya wauaji wa Oktoba 29…
Huku bado tukiwa tunasuburi maamuzi ya jumuiya ya madola…
Huku bado kesi feki ya Tundu Lissu ikiendelea na jumuiya ya kimataifa ikiifuatilia kwa karibu….
Huku kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29 inakaribia kuwadia…
Samia amekuwa kama kapigwa na kitu kizito kichwani na sasa hajitambui wala hajielewi!
Amekuwa kama mbawala aliyeko barabarani anayetaka kuvuka kwenda ng’ambo ya pili lakini taa za Lendrova [Land Rover] zinammulika machoni na kachanganyikiwa.
Hajui kama anaenda au anakuja. Hana uhakika kama avuke barabara au asivuke.
Mwishowe anaamua kuvuka huku Lendrova nayo ikiwa inapita.
Anaishia kugongwa na kubaki katikati ya barabara na kesho yake asubuhi na mapema watu wa idara ya wanyama pori wanakuja kuubeba mzoga wake.
Sasa sijui hao wanae wataishi wapi baada ya yeye kuzolewa toka katikati mwa barabara?
Watakimbilia Zanzibar? Wataenda Oman? Au watabaki hapa hapa Tanganyika?
Kanisa hapa limeingiaje wewe mzee?!
Hii siku inatakiwa kuwa na maadhimisho maalumu kila mwakaHuku kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29 inakaribia kuwadia…
Hatuna huo uwezo lazima tusaidiwe acha akili zaekiCCMSi kweli,changamoto nikua kuna kundi limeaminishwa kua bila wazungu atuwezi kutatua matatizo yetu mfano ya utawala,uchumi nk. Nawaogopa sana watu wanaoshadadia kua Bunge la Ulaya,Marekani sijui mambo gani eti wanapitisha azimio... yaani kana tuenda shule kusoma ujinga. NAWASHANGAA WATU WASIOJUA MADHARA YA NEO-COLONIALISM.. Tunao uwezo wa kutatua changamoto zetu kiuhalisia achana na hizi zinazo kuzwa kwenye mitandao