Ameleta dharau na maringo nimwembia naenda kumtongoza rafiki yake, amenywea na kawa mpole

Ameleta dharau na maringo nimwembia naenda kumtongoza rafiki yake, amenywea na kawa mpole

Acha kabisa yani msela Hapa anaona kama anamkomoa gal wake...!!!! Yani hii ndo njia ya yeye kumkomoa uyo msichana
Sijamkomoa. Nimeamua kuanzisha mahusiano na rafiki yake. Nashangaa kwikwi kibao na majonzi. Maana ameniletea dharau sana.
 
Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau.

Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue.

Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi mpaka huruma.
Umefaidika nini?
Hiki ni kiwango cha juu cha utoto
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom