Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Mbona mnafanana sana na huyu Ex wangu mnapojibu?Usichezee nafasi chukua wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnafanana sana na huyu Ex wangu mnapojibu?Usichezee nafasi chukua wote
SureKuna wanaume ni wana utoto mpaka huruma.
Kama vipi mchukueMbona mnafanana sana na huyu Ex wangu mnapojibu?
Ngoja nimpime huyu kwanzaKama vipi mchukue
Huyo ex ndio mimiMbona mnafanana sana na huyu Ex wangu mnapojibu?
Kuna wanaume ni wana utoto mpaka huruma.
Haaaa. Haya bana.Huyo ex ndio mimi
Sijamkomoa. Nimeamua kuanzisha mahusiano na rafiki yake. Nashangaa kwikwi kibao na majonzi. Maana ameniletea dharau sana.Acha kabisa yani msela Hapa anaona kama anamkomoa gal wake...!!!! Yani hii ndo njia ya yeye kumkomoa uyo msichana
Naomba ujiheshimu. Haya ni maamuzi yangu. Na huyu rafiki yake namchukua.
Umefaidika nini?Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau.
Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue.
Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi mpaka huruma.
Mimi sijali kabisa.Huyo soon anaenda kuliwa na rafiki yako ili kulipa kisasi.
Afu shemela mi staki ujuwe..!!Endelea na rafiki ake hadi billion 360 zipatikane
Ya ya y ya ya ya ya ya ya ya!Imekaa ki trab na trat
Nimepata mtu mpya aliyekuwa shemeji yangu.Umefaidika nini?
Hiki ni kiwango cha juu cha utoto
HUU NI UTOTO PRO MAXKuna wanaume ni wana utoto mpaka huruma.
Ahaaa. Tulishapenda wengi na huwa wanatoka miyoni. Know that.Huyo rafiki yake unampenda au ni njia ya wewe kupunguza maumivu yako? Ukweli ni kwamba unampenda uyo demu wako wacha ashikilie hapo hapo