Uchaguzi 2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

Nimekusoma mkuu 'Superbug'.

Usimlaumu huyu. Ni ujinga ndio unaomsumbua, pamoja na kwamba kafika chuo. Elimu yetu siku hizi haifuti ujinga.

Kwanza maprofesa wenyewe, si ndio kama hao wa 'Jalalani"? utategemea wawatoe ujinga wanaowafundisha? Sana sana ni kuwazidishia ujinga.
 
Tatizo liko wapi wewe uliyefunga uzi ndio kituko zaidi!
 
Sawa inabidi maendeleo ya nchi yasimame kwanza ili kila mtu apate kazi kwanza. Akili za ufipa bwana.
Hao wabunge wengi wenu wana kazi mbona ndio wanaongoza kupinga. Au hawana exposure ya maendeleo?
 
Hao ndo wasomi wetu, waliofundishwa na Lipumba na mzee wa jalalalni, unategemea wapate wapi akili
 
Kuisifu CCM ndio uzalendo?
We jamaa unajidharirisha sana na hupati hata uDC unatumika kama toilet paper tu.
Walikuwagapo akina Lizabon, walisifia lakini kila uteyuzi ukitoka hawamo, wakija vijana wahamiaji kutoka upinzani wanakula shavu. Jamaa akamua ku-mute mpaka leo sijamsikia! YEHODAYA mwenyewe imebidi akubali kupapaswa kalio tu
 
Du jamaaa anaabisha Chuo nilichosoma....Du kweli...noma sana 🤩🤩🤨🤨🤨
 
Nakushangaa wewe usiyejua faida ya Ubungo flyover kwa mtu anaye kaa Tosamaganga, Karagwe, kakonko, Kishumundu n. k.
Hiyo flyover itakuwa na faida kwa hata mtu wa Moyale Kenya! Hiyo hiyo flyover hata kwa wazungu ulaya na waasia wanaotegemea mazao yetu.
 
Sisi ambao tuko kwenye mfumo wa malipo ya serikali tunaona kuna udhaifu huyu jobless hawezi kuona weaknesses kwakuwa hana anachokifanya.
 
kila kijana yupo CCM kwa unafiki tu
 
Si ajabu hana kazi, kama ana elimu ya chuo anashindwa kujua kuwa ni msaada kutoka kwa watu wa Japan basi acha tu aendelee kuwa mtaani.
Wajinga kama hao wapo wengi sana sikuizi
 
umesahau na ina misukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…