Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Utamdanganya nani?Huo ndio uzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamdanganya nani?Huo ndio uzalendo
Nimekusoma mkuu 'Superbug'.Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Kweli aisee....Leo kwa Mara ya kwanza tunakubaliana!Huo ndio uzalendo
Tatizo liko wapi wewe uliyefunga uzi ndio kituko zaidi!Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
umasikini wa akili ndo uzalendo?Huo ndio uzalendo
Sawa inabidi maendeleo ya nchi yasimame kwanza ili kila mtu apate kazi kwanza. Akili za ufipa bwana.Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Walikuwagapo akina Lizabon, walisifia lakini kila uteyuzi ukitoka hawamo, wakija vijana wahamiaji kutoka upinzani wanakula shavu. Jamaa akamua ku-mute mpaka leo sijamsikia! YEHODAYA mwenyewe imebidi akubali kupapaswa kalio tuKuisifu CCM ndio uzalendo?
We jamaa unajidharirisha sana na hupati hata uDC unatumika kama toilet paper tu.
Du jamaaa anaabisha Chuo nilichosoma....Du kweli...noma sana 🤩🤩🤨🤨🤨Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Ametumia uhuru wake wa kikatiba.
Kuna mtu ana ajira na ana maisha mazuri tuu lakn hayupo ccm. Huyo nae tumuite mshamba?
Huo ndio uzalendo
Nakushangaa wewe usiyejua faida ya Ubungo flyover kwa mtu anaye kaa Tosamaganga, Karagwe, kakonko, Kishumundu n. k.Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
kila kijana yupo CCM kwa unafiki tuNjooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Wajinga kama hao wapo wengi sana sikuiziSi ajabu hana kazi, kama ana elimu ya chuo anashindwa kujua kuwa ni msaada kutoka kwa watu wa Japan basi acha tu aendelee kuwa mtaani.
umesahau na ina misukuleMkuu,
Unataka kufikisha ujumbe gani kwa hadhira?
Mantiki yako ni ipi hasa?
Kwamba kwa Maajabu yaliyofanywa na Awamu
ya Tano kuna msomi ana mahaba na Chama Cha
Mapinduzi?!
Kwamba CCM ni wanauza pombe kama chanzo chao cha Mapato?!
Mkuu,
Naomba nikupe darasa kidogo( elimu hii huilipii, Nakupa bure)
Chama Cha Mapinduzi kinaundwa na nguzo Nne.
1)CCM ina Wanachama
2)CCM ina Wakereketwa
3)CCM ina Washabiki
4)CCM ina Wapenzi
Hivyo usishangae kumwona mtu msomi anaisifia CCM kwenye kadamnasi, au kuvaa hizo CCM Gear ( kofia na skafu) Ni dhahiri kabisa yuko Kwenye kundi moja wapo hapo juu.
CCM wana maeneo ambayo wanayapangisha kwa raia, ukishapanga kwenye eneo la CCM na ukamalizana nao, CCM hawakuchagulii Biashara gani ya kufanya mahali hapo, uko huru kufanya biashara yeyote uitakayo wewe mhuska.
Mkuu, Inaonekana ni mfwatiliaji mzuri sana wa mambo yanayofanyika kwenye maeneo ya CCM Nchini, kwa mantiki hiyo ndiyo maana maeneo mengi ya CCM kuna pub na majiko ya kitimoto siyo kwamba ndiyo mapato ya CHAMA. USIPOTOSHE!
Naamini hapo ulipo unaikubali CCM kiana( in Chidi BenzVoice)
Shukrani sana
fafanua kauli yako , kwamba kua maskini ni uzalendoHuo ndio uzalendo