Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa kishimba haujaenda hata veta anaviwanda Africa ya kusiniSi ajabu hana kazi, kama ana elimu ya chuo anashindwa kujua kuwa ni msaada kutoka kwa watu wa Japan basi acha tu aendelee kuwa mtaani.
fafanua kauli yako , kwamba kua maskini ni uzalendo
Maisha hayana remote nyanyuka ukayabadili mwenyeweNjooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
If you can't beat, join them.Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Kifupi wewe na mleta mada wote akili hamna.Tosamaganga ni kijijini .Watu wa kijiji kile hujishughulisha sana na kilimo na ufugaji hakuna mtu asiye na kazi pale.Kimekuvutia nini kusema mtu yuko kijijini tosamaganga na hana kazi? kijiji gani Tanzania watu hawana kazi? Asubuhi kijiji kizima huamka kwenda kazini kwenye shughuli za kilimo na ufugajiLoo, sijasoma taarifa yenyewe, lakini nimevutiwa na kichwa cha mada ulivyoiweka mkuu 'superburg'.
Ni wazi una uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kikamilifu katika maandishi machache.
YEHODA, wewe ni mpumbavu, na wala upumbavu wako haufichiki kwa kusoma unayoandika humu miaka nenda rudi.Kifupi wewe na mleta mada wote akili hamna.Tosamaganga ni kijijini .Watu wa kijiji kile hujishughulisha sana na kilimo na ufugaji hakuna mtu asiye na kazi pale.Kimekuvutia nini kusema mtu yuko kijijini tosamaganga na hana kazi? kijiji gani Tanzania watu hawana kazi? Asubuhi kijiji kizima huamka kwenda kazini kwenye shughuli za kilimo na ufugaji
Wewe na mleta mada mna matatizo tena kama mumesoma wazazi wamepoteza pesa zao bure kwa kweli PRODUCT ILIYOTOKA HAINA VALUE FOR MONEY HERI HIZO PESA WANGEZILEWEA
Huo ndio uzalendo
Tosamaganga ni kijijini unataka kusema vijijini watu hawana kazi? waombe msamaha wana vijiji na wanaoishi vijini wewe mleta mada
Kwa hiyo mtu akiwa kijijini huwa hana kazi?
Yaani kweli kwenye nchi masikini yenye raslimali bwelele Kuna watu hawana kazi...?Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Huyo hana tofauti na dada kawe alumni,yeye anakata mauno tu hata hajui mziki gani unapigwaNjooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.