Uchaguzi 2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

Hivi mtu akisoma hatakiwi kuipenda ccm kumbe ,ila wabongo tuna shida sehemu mana mtu anaweza kukuchagulia hata chama cha kukipenda ikiwa hujawahi kumwomba mboga
 
Si ajabu hana kazi, kama ana elimu ya chuo anashindwa kujua kuwa ni msaada kutoka kwa watu wa Japan basi acha tu aendelee kuwa mtaani.
Shangaa kishimba haujaenda hata veta anaviwanda Africa ya kusini
 
Hizi double standard ndizo zinafanya tunawaona nanyinyi ni janja ya nyani tu.

Mnahubiri uhuru wa maoni lakini hamuuabudu.
Mmaamini katika haki binafsi lakini hamuishi humo.

Leo ukikutana na doctor muhimbili anayelipwa na serikali,akakwambia ccm haifai hata kidogo,unadhani ametumia vyema elimu yake,lakini kinyume chake unahoji uhalali wa elimu ya mhusika.

Tuielewe democrasia tunayoifungia vibwebwe kwanza kabla ya kaunza kukata viuno.
 
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.

Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.

Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.

Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Maisha hayana remote nyanyuka ukayabadili mwenyewe
 
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.

Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.

Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.

Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.

Mbona wewe toka umemaliza masomo unasifia mbowe na chadema sasa miaka ishirini na huna kazi na hujajishangaa bwashee?
 
Serikali haina wajibu wa kumwajiri bali wajibu wake ni kumtengenezea mazingira wezeshi ili apate ajira. Flyover(miundombinu) ni sehemu ya hayo mazingira wezeshi. Kama hujui uliza kwanza badala ya kututangazia "ujinga" wako hapa.
 
Tosamaganga ni kijijini unataka kusema vijijini watu hawana kazi? waombe msamaha wana vijiji na wanaoishi vijini wewe mleta mada

Kwa hiyo mtu akiwa kijijini huwa hana kazi?
 
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.

Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.

Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.

Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
If you can't beat, join them.
Learn his magic before you spear him.
 
Loo, sijasoma taarifa yenyewe, lakini nimevutiwa na kichwa cha mada ulivyoiweka mkuu 'superburg'.

Ni wazi una uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kikamilifu katika maandishi machache.
Kifupi wewe na mleta mada wote akili hamna.Tosamaganga ni kijijini .Watu wa kijiji kile hujishughulisha sana na kilimo na ufugaji hakuna mtu asiye na kazi pale.Kimekuvutia nini kusema mtu yuko kijijini tosamaganga na hana kazi? kijiji gani Tanzania watu hawana kazi? Asubuhi kijiji kizima huamka kwenda kazini kwenye shughuli za kilimo na ufugaji

Wewe na mleta mada mna matatizo tena kama mumesoma wazazi wamepoteza pesa zao bure kwa kweli PRODUCT ILIYOTOKA HAINA VALUE FOR MONEY HERI HIZO PESA WANGEZILEWEA
 
YEHODA, wewe ni mpumbavu, na wala upumbavu wako haufichiki kwa kusoma unayoandika humu miaka nenda rudi.

Kama yuko kijijini na mazao yake yanalanguliwa kwa sababu za kipumbavu chama unachokitetea, bado unasema hana sababu ya kukilalamikia chama badala ya kusifu ma'fyover' ya Ubungo kama angekuwa na akili?

Watu hawa mliowalaza akili mnawapenda sana, na kwa bahati mbaya hatuna chama huko upinzani chenye uwezo wa kuwaelimisha watu kama hawa waondokane na ujinga mwingi mliowajaza kichwani.

Wewe huna lolote, kucha kuchwa upo hapa JF unaimba ngonjera tupu tokea ujiunge humu. Kama unabisha, rudi nyuma usome michango yako yote tokea umeanza kuandika hapa. Unapotafuta kujibishana na mimi, jiandae, kwa sababu niko tayari kukukabili vyema kwa aina yoyote ile unayopenda.

'Idiot' mkubwa wewe.
 
Tosamaganga ni kijijini unataka kusema vijijini watu hawana kazi? waombe msamaha wana vijiji na wanaoishi vijini wewe mleta mada

Kwa hiyo mtu akiwa kijijini huwa hana kazi?

Waombeni radhi kwanza kwa zile milioni 50 mliwaahidi ili kuwalaghai.
 
Mada ya kilevi na bangi zilizojaa kichwani.ina maana serikali ya CCM inauwezo wa kuwanunulia viatu vipya na kuwapa ajira raia woote wa jumuhuri ya muungano?
 
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.

Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.

Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.

Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Yaani kweli kwenye nchi masikini yenye raslimali bwelele Kuna watu hawana kazi...?
 
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.

Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.

Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.

Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Huyo hana tofauti na dada kawe alumni,yeye anakata mauno tu hata hajui mziki gani unapigwa
 
Back
Top Bottom